Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema chama chake hakikisaidii kwa fedha chama kipya cha ACT wala kiongozi wake mkuu Zitto Kabwe kama inavyoenezwa ktk mitandao mingi ya kijamii
Source: Raia Tanzania
Hiyo misaadaya kifedha wanajua wenyewe njia wanazo tumia kupeana. Ila misaada ya rasilimali watu ipo wazi kwani mikutano yote ya ACT inaandaliwa na makada wa CCM wote tumekua mashuhuda,lakini pia hata humu jukwaani tumeona namna jamaa zetu wa LB7 walivyo badili I'D zao na kupigia debe ACT.
Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM Nape Nnauye amesema chama chake hakikisaidii kwa fedha chama kipya cha ACT wala kiongozi wake mkuu Zitto Kabwe kama inavyoenezwa ktk mitandao mingi ya kijamii
Source: Raia Tanzania
My take:
Nani amemuuliza Nape hayo anayokanusha? Kama yanaandikwa kwenye mitandao na hayana ukweli kwa nini asiyapuuze? Anataka kitwambia kila kinachoandikwa kwenye mitandao huwa anakikanusha? Mbona wanaodaiwa kusaidiwa hawakanushi?
Tuwekee mifano kamanda
Tuwekee mifano kamanda
Nape vuvuzela au kuna Nape mwingine?
Ondoa hofu, mkutano wa Zitto uliofanyika Njombe uliandaliwa na makada wa CCM nikiwa shuhuda mimi ni mkazi wa Njombe mjini. LB7 usiku na mchana hapa jukwaani wanapambana kuitetea ACT, assadsyria, Rutashobolwa, mpk, Mingoi, FaizaFoxy na wengine wengi tu.