Wachovu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 1,227
- 566
wizi wa kura upo..
Hata kama CCM hatukuipenda Magufuri alijenga hoja tukamuelewa tukamkubali na tukamchagua na katuhaidi kubadilisha hata Chama Chake , nyinyi ukawa mlibaki kuzungusha mikono , jazba kibao , hamukutwambia mafuriko mnatupeleka wapi ,! Hatukuwaelewa , hamukutushawishi , hatukuwachagua