Nape anasema CCM itatawala milele kwa sababu vyama vya upinzani havina sera mbadala za kuikomboa hii nchi.
Tusishangae kwa nini hiki chama kitakufa kwa kasi sana maana viongozi wenyewe wameshapanic.
kizuri tanzania ni kuwa kila mtu ana haki ya kusema.... mwache aseme tu
amenichekesha sana aliposema ccm itatawala milele kwa sababu wapinzani hawajajipanga kuja na sera mbadala za kuikomboa nchi hii. nikaanza kufikiri hivi huyu mtu anajua anachokiongea?
yaani ccm inajua imechoka kwa hiyo kunatakiwa kuwa na sera mbadala yenyewe haina sera tena na mwenezi anajua.
na kakiri wapinzani tu ndio wanaweza kuikomboa nchi.
nape iwe unajua au hujui hii kauli na ile kufuru ya kusema ccm itatawala milele lazima zikutafune kabla hujaondoka hapa duniani.kwa nini hotuba zako usiwe unaandika ukazisoma kama mara mbili na kuomba ushauri kwa wenzako?au ni ile kauli ya makamba kuwa hushauriki na kukifanya chama kama mali yako?
umemsikia raza asubuhi?
Nape anasema CCM itatawala milele kwa sababu vyama vya upinzani havina sera mbadala za kuikomboa hii nchi.
Tusishangae kwa nini hiki chama kitakufa kwa kasi sana maana viongozi wenyewe wameshapanic.
kamanda raza, kasemaje asubuh?
maneno yao haya ya kufuru ndio laana kwa chama chao(ccm)........bado hawajalijua hili......Nape anasema CCM itatawala milele kwa sababu vyama vya upinzani havina sera mbadala za kuikomboa hii nchi.
Tusishangae kwa nini hiki chama kitakufa kwa kasi sana maana viongozi wenyewe wameshapanic.