Not_Yet_Uhuru
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,304
- 431
Kwenye mkutano wa hadhara hapa wilayani Kasulu, wakati anaendelea kuongea anasema eti miradi yote ya maendeleo iliyotakiwa kufanyika wilayani hapa Mbunge wenu ni kikwazo kwasababu anapinga kila kitu bungeni.
Baada ya hapo akatamka eti tuliahidi na tumetekeleza ghafula umati wa watu ukalipuka na kuanza kumzomea.
Mpaka sasa anatamani ashuke jukwaani anasema eti hata kama mtanuna nitawagawia vidonge japo vichungu lkn mtameza ule mtindo wake wa kusema sentesi na kuacha wananchi wamalizie hauna chake hapa akisema CCM oyeeeeee watu kimyaaaaa.
kumbe yeye ndio anawateua ma DC,huyu jamaa simpendi kama kifo.kijana mzima siasa zake za kizamani mmo.
naomba jibu la swali la 2 na lile la mwisho tafadhari
Anaficha ukweli wa matumizi ya PoliCCM.1. Amelijibu kwamba ni kweli reli iliuwawa na menejimenti mbovu ya TRL iliyokuwepo lkn kwa sasa wamemuweka Dk wa ukweli Mwakyembe watu wa Kigoma wajiandae kupata usafiri wa treni siku saba kwa wiki (hili halina tofauti na kigoma kuwa km Dubai)
5. Hilo la kuleta machafuko amelikwepa, amedai alisema hivyo kwa kujua kama wananchi hawawezi kukubali upinzani uingie Ikulu kwani bado wana imani na CCM.
Kwenye mkutano wa hadhara hapa wilayani Kasulu, wakati anaendelea kuongea anasema eti miradi yote ya maendeleo iliyotakiwa kufanyika wilayani hapa Mbunge wenu ni kikwazo kwasababu anapinga kila kitu bungeni.
Baada ya hapo akatamka eti tuliahidi na tumetekeleza ghafula umati wa watu ukalipuka na kuanza kumzomea.
Mpaka sasa anatamani ashuke jukwaani anasema eti hata kama mtanuna nitawagawia vidonge japo vichungu lkn mtameza ule mtindo wake wa kusema sentesi na kuacha wananchi wamalizie hauna chake hapa akisema CCM oyeeeeee watu kimyaaaaa.
Du! Ila nimeona kule Nguruka wamepata wateja, maana walienda kutembelea mradi wa Dr. Magufuli pale daraja la Maragalasi. Pengine wanampigia Kampeni huyo jamaa na miradi yake ya barabara.