NAPE awaonya CHACHAMUDA, Maroli ya CCM yapo tayari kubeba watu!


Hilo linaukweli wowote mkuu? Mbona hatari sana?
 
Mwakyembe,Wasira,Tibaijuka na wengine wengi wapo
TBCccm wanaongesha mojakwamoja! Waliojitokeza wengi ni wazee hasa masiki wasiojua a wala b, vijana ni wakuhesabu tu
 
siamini kama hili ni tamko toka kwa chama cha magamba! yaani wameishiwa cha kusema kwa kiwango hiki? wanatapatapa baada ya kuripotiwa na tanzania daima kuwa wameandaa usafiri na posho kwa wanachama ili kujaza uwanja.loh! aibu tupu!
hata kama chachamuda kimegoma kuwabeba magamba, hii ni kutokana ha hofu ya kuwafisadi (kuwaibia) kipato chao kidogo wanachokipata. si unajua tena mafisadi!
 

Na yametimia hakuna cha siri zaidi ya mawaziri kwenda kutoa ahadi feki mpya tofauti na zileee za 2010
 
hizi ni porojo.
 
Wangapi waliopita ccm na bado chama kipo? Kuondoka kwa mtu mmoja hakutakiangusha chama, aliondoka baba wa taifa na chama bado kipo.mi sijaelewa hapo juu....baba wa taifa alijiondoa ccm?
@Edson umeniwahi kidogo manake mie pia nilitaka kuuliza kwani baba wa Taifa alikuwa sio mwana ccm?
 
ya wezekana kumbe ilikuwa mpango wa ccm kutoa tangazo la wenye magari kupiga marufuku kupanda magari yao ili mseme tulilazimika kukodi magari kwa sababu wenye magari wamekataa tusipande magari yao. Imekua kawaida kukodi watu waje kwenye mikutano yenu, watu wamechoka na ccm hawaitaiki, na hakuna atakae kupeleka jela kwa ccm kushindwa coz ccm kushindwa ni dhahili labda ununue tena kura na utumie dola kulazimisha ushindi. na hata Gadaff alisema hakuna wa kumtoa yuko wapi? Nape usishindane na Umma na nchi hii si yako ni ya watanzania walioichoka ccm na serikali yake.
 

Kwanini CHADEMA hawakuwa na Tatizo hilo la USAFIRI? na Wao SIO CHAMA kinachotawala NCHI?
 
ubwabwa, magari, fuluna, kofia na hela haziwezi kukuondoa kwenye umaskini bali ni wewe kujua hawa wanao kuhonga wanajinufaishaje kupitia raslimali za taifa na tufanye nini ilikuwang'oa 2015 nje yapo tutalia lia bila mwisho na kiama ndio hicho umaskini maisha hayashikiki kila unapogusa ni pagumu si mfanyakzi wala mkulima hali za maisha kila kukicha afadhali kwa jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…