Nape aunguruma Njombe....

Kumbe CHADEMA ilichukua majimbo muhimu?
Mtayarudisha kwa kutumia wapiga kura wapi? Naona CCM sasa vipofu. Vijana ndiyo watakuwa wapiga kura wengi 2015 siyo hivyo vihajuza vinavyokuja kwenye mikutano yenu. Labda kama kura mtapewa na Tume ya Uchaguzi (isiyo huru), Polisi, Takukuru (kufumbia macho rushwa na uchakachauaji), nk. Wa kudanganywa na viT-Shirt na ubwabwa hakuna tena.
 
nape vua gamba utabak peke yako ohoo.. Amka kumekucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…