Japhari Shabani (RIP)
R I P
- Jan 16, 2007
- 721
- 180
Hii sio picha ya Njombe, acha kuwadanganya watu. Mtapata tabu sana kudanganya watu kwani UONGO HAUDUMU!!
Mh: Nape Nnauye ameunguruma leo jioni hapa mkoani Njombe katika mkutano wake wa hadhara uliohudhuriwa na ma-mia kwa maelfu ya wananchi na kuzungumzia juu ya masuala ya uundaji wa tume mbalimbali katika nchi yetu ambazo zimeleta tija kwa maendeleo ya taifa.
Katika mkutano huo mh: Nnauye amewakemea watu wanaobeza jitihada za serikali katika kushughulikia mambo mbalimbali ambayo ni kero kwa wananchi.
Hii ni taarifa kwa ufupi kwa wale ambao hawakuwepo ktk mkutano huo.
Hongera sana Nape kwa kuwapa wakati mgumu wanaodhani CDM pekee ndio wenye haki ya kufanya mikutano na wananchi.Kwa hali ilivyo wana CDM wengi wanajidanganya sana wakiona watu wamenda kuwasikiliza utumbo wao na kuzani wameisha shinda uchaguzi.Wasubili wataona 2015 jinsi majimbo yote muhimu yatakavyorudi CCM na Ushindi wa Kishindo katika kila nafasi CCM iliyoweka mgombea.
CDM watasubili sana kwani CCM ni chama chenye dira,malengo mazuri na nia ya kuisaidia Tanzania na watanzania wote bila kuwagawa na mambo ya ukanda.Kwa sisi waelewa ukifanya mahesabu ya kawaida kabisa utapata majibu kuwa CCM iko juu sana ktk sehemu zote za nchi yetu Tanzania na ina wanachama na wakereketwa wasiyoyumba kwa kufuata upepo.Hakuna aliyewahi kuwa na Nguvu kutika upinzani kama Mrema lakini aliishia wapi?Nawapa pole sana wana CDM kwani watapata ugonjwa wa moyo mwaka 2015.CCM JANA-LEO-NA KESHO.

Mikutano yako ni na wazee tu? ANYWAY UTAPATA THAWABU KWA KUWAPA BRAND NEW T-SHIRTS!
Hongera sana Nape kwa kuwapa wakati mgumu wanaodhani CDM pekee ndio wenye haki ya kufanya mikutano na wananchi.Kwa hali ilivyo wana CDM wengi wanajidanganya sana wakiona watu wamenda kuwasikiliza utumbo wao na kuzani wameisha shinda uchaguzi.Wasubili wataona 2015 jinsi majimbo yote muhimu yatakavyorudi CCM na Ushindi wa Kishindo katika kila nafasi CCM iliyoweka mgombea.
Mnawapa shida sana wananchi!!!, wala sio CDM na ndo akili zenu zilivo badala ya kufanya kazi ili wananchi wawakubali nyie mnafanya mambo CDM wakasirike au kuwapa CDM ugonjwa wa ROHONI. Nansens!!!!