Duh! kama ukifeli mtihani unapewa maksi za bure basi hii kali!Katibu wa Uenezi wa CCM Mheshimiwa Nape Nnauye amewaita wapinzani wao CHADEMA kuwa ni fisi waliovamia sherehe isiyowahusu. Nape alisema kuwa FISI wanataka nchi isitawalike, wanataka damu imwagike kwa kujawa na uroho wa madaraka walionao.
Nape amesema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa stendi Kata ya Izigo Wilayani Muleba ambapo vijana wa upinzani walikuwa wamesimama pembeni wakinung'unika.
Katika kumalizia hotuba yake jukwaani hapo, Nape amesema kuwa Ikulu hawatakwenda wapinzani abadani, na kwamba mwaka huu ushindi wa CCM utaongezeka kufikia zaidi ya asilimia 80%
Baada ya muda kidogo nitapandisha video.
Katibu wa Uenezi wa CCM Mheshimiwa Nape Nnauye amewaita wapinzani wao CHADEMA kuwa ni fisi waliovamia sherehe isiyowahusu. Nape alisema kuwa FISI wanataka nchi isitawalike, wanataka damu imwagike kwa kujawa na uroho wa madaraka walionao.

Wakati nikimsikia Nape akipayuka kwa nguvu kufikisha hoja yake tofauti kabisa na jinsi Kinana anayoongea hata kama ujumbe unafanana NAJIULIZA; kwa chama kikongwe kama CCM mtu wa kaliba ya Mheshimiwa sana Nape anawezaje kupewa nafasi nyeti kama hiyo?
Hebu weledi zaidi mnifafanulie labda ni mimi ninayekosea, Je nape anafaya sahihi? anafiti kwenye nafasi aliyopo?