takwimu ya nape,naikataa.cyo sahihi.ccm safari hii ni kifo cha mende,mgongo wa chali.majimbo mengi wamepoteza mitaa...!nadhani sasa sauti ya umma imeckika vyema.watanzania tumeelewa mamlaka yetu iko wapi;ni kura..!tutawahukumu kwa hiyo mamlaka tuliyo nayo kikatiba kwa kupiga kurq kwa wingi ili mradi tuwanyanganye hayo madaraka yanayo wavimbisha vichwa.imefika wakati watanzania tunaitaji nchi yetu,trust me tunaichukua.....!kajitathmini muwezavyo,hakika hakuna mtakalo lifanya kuzibadili nyoyo zetu.na mwaka 2015 mtashindwa kwa kishindo.