MFALME JUHA
Member
- May 5, 2008
- 13
- 1
katika hali isiyotarajiwa katibu mwenezi wa ccm tanzania nape nauye amepita katika mkoa wa tabora kimya kimya akitokea mkoa wa rukwa, nape bila kutarajiwa hata na baadhi ya wana ccm kupata taarifa za nape akiwa tayari kisha pita na kuelekea singida, hali hii imewafanya baadhi ya wadau wa siasa wa mkoa tabora kujiuliza kulikoni nape kupita kimya kimya bila hata ya taarifa au hata angalau mkutano mmoja!
umekosa cha kuandika unajua ratiba ya ccm wewe.
wewe chundu kwelikweli, kama huna cha kuandika nyamazakama unaijua si uiweke hapa
wewe mbona unafuka moshi kama jina lako? unamuigiza bila kujua maana? wee unajua maana ya chundu wewe? au unakurupuka tu. kakojoe ulale dada.wewe mbona ndio chundu number 1, ulichokiandika wewe nikipi? mbona wewe huna ulicholiandika na hukunyamaza. CCM imekunywa sumu kali itakufa hili halina ubishi liko uchi kabisa bwan mdogo. si shangai nape kuipita tabora najua T-shirt,kofia na magari ya kubeba watu hayakuwepo so kukwepa aibu kalala mbele
Nape, Tabora umepita kimya lakini kanda ya ziwa wape taarifa kwamba unakuja. Unasubiriwa sana Tarime - uwe na kanga au mtupu.
Support. Safi sana Nape. Keep them busySafi Nape tunataka kwa siku thread kama sita hivi