meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,828
ktk kundi la vichaa wanaochekesha kichaa zaidi huwa navutia zaidi
Sina la kuongeza, mmemaliza kila kitu.Ndivyo inavyotakiwa iwe.........mmoja dereva(Kinana) mwingine kondakta aka mpiga debe (Nape).........kazi ya kuita abiria sio ya dereva
Ndivyo inavyotakiwa iwe.........mmoja dereva(Kinana) mwingine kondakta aka mpiga debe (Nape).........kazi ya kuita abiria sio ya dereva
kama alivyofanya kwa mukama,kijana huyu ambaye unaweza kumuita 'media darling' anaonekana kushika kasi katika suala zima la usemaji na maamuzi ya ccm.tukumbuke kinana alitajwa sana kwa muda wa kama wiki 2 hivi baada ya uteuzi wake lakini sasa hasikiki tena kama ilivyomtokea mtangulizi wake.
Hii inamaanisha kinana ameshindwa kumdhibiti vuvuzela nape na hivyo kumuweka katika hatari ya kupigwa chini.
Tusubiri tuone!

- Finally, CCM tupo kwenye the right track maana hizi mnacheza ngoma zetu, KIDUMU CCM!!
es!

thread yako haina tija. Full pumba.kama alivyofanya kwa mukama,kijana huyu ambaye unaweza kumuita 'media darling' anaonekana kushika kasi katika suala zima la usemaji na maamuzi ya ccm.tukumbuke kinana alitajwa sana kwa muda wa kama wiki 2 hivi baada ya uteuzi wake lakini sasa hasikiki tena kama ilivyomtokea mtangulizi wake.