Nape amezuiwa, ujumbe umewafikia

Naapa huna akili
 
Hv yale maV8 na BMW vp?
 
Naunga mkono vita ya serikali dhidi ya madawa ya kulevya, Na ninaamini vita hiyo ni ngumu, lakini nasema hivii, yeyote anayeamini bashite amewahi kupambana/anapambana Na madawa ya kulevya Ana matatizo ya akili!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…