Nape amezuiwa, ujumbe umewafikia

Nape utaumia sn pia kuwa msitari wa mbele kwenye kuzuia bunge live.
Bunge ambalo linatazamwa sn na watanzania.
Tume huru idaiwe mapema Tanzania
 
Mzee Tupatupa, hivi kwa nini hutoki huko Lumumba? Mboana huwafananii kabisa wakina Lizaboni and the likes ambao hao hawana muda wa kufikiri zaidi ya kushabikia?
Ye yuko nje kazi yake kubrush viatu na kuushuhudia ulimwengu yaliyo na maslahi kwao
 
Bado tuna mda mrefu wa kuitafakari Tanzania ili tujue nani anatakiwa kutuwezesha kiutambuzi viongozi tulio nao kwa sasa ni zaidi ya mzigo wa tan kumi kubebwa na kirikuu
 
Wewe ni mjinga..nchi hii is full of foolish people! unawaza uchaguzi ulishapita matokeo yakasomwa kiongozi akaapishwa akiwemo Nape wako huyo huyo..fikirieni mambo ya maana japo kwa saa moja mjiletee maendeleo.
 
Kwahiyo clouds ni wauza madawa Maana nao wanamlalamikia bashite, Na Yale magari ya wauza madawa Vipi au ni sawa ?
 
Japo siungi mkono madawa ya kulevya pia siungi mkono utaratibu uliotumiwa na makonda pia siungi mkono uvamizi wa clouds pia siungi mkono rais anavyomlinda wakati ana vyeti feki pia siungi mkono kutumbuliwa kwa nape
kutwa nzima kupepeta mdomo na kufikiria wishes tu..vitendo ZERO
 
Wewe ni mjinga..nchi hii is full of foolish people! unawaza uchaguzi ulishapita matokeo yakasomwa kiongozi akaapishwa akiwemo Nape wako huyo huyo..fikirieni mambo ya maana japo kwa saa moja mjiletee maendeleo.
....mambo ya maana yapi yanayofanywa na nyie wezi??.....waongo wa umma nyie....kinachojadiliwa humu kimefanywa na nani kama si nyie wezi??...ukweli wa wizi wenu wa kura tutaujua tu....maana hivi sasa tunashuhudia mnavyojenga viwanda kwa kasi ya ajabu.....wahuni nyie.....
 
Sijaona sababu ya kumtakia Nape pole na wala kumpongeza kwamba ni Shujaa kama wengine wanavyosema!
 
Ni kweli kabisa Nape atalindwa na historia.
 
Laana za kukata kata watu kipindi kile zinamfikia Nape leo.bila shaka LOWASA,MEMBE,PINDA wamefurahi sana huko walipo
Mkuu,naamini kabisa kabisa Mh. Lowasa atakuwa na huzuni sana,yule si mtu wa visasi,ni "Mfalme Suleiman" kwa busara.
 
Makonda ni untouchable kuliko Mama Janeth.
Angalia kauli zako, asiyefunzwa na mamaye hufunzwa ulimwengu..mtu aliyelelewa vyema anajua lugha na maneno ya kusema mbele za watu..haya uliyosema ni maneno ya chokoraa aliyekulia jalalani!
 
Reactions: Oxx
Mungu keshapokea maombi yetu wana ukawa. Sasa anatuonyesha keshaanza kuisambaratisa ccm iliyo kandamiza haki za watanzania kwa miaka mingi sana.Magu ni kama farao Bwana mungu sasa anamsmbaratisha.kuwa na roho ngumu .asishaurike hiyo yote kafanywa na mungu ili ccm isambaratikr.
 
Huo wizi alishindwa kukuambia Lowassa na Sumaye leo unautarajia kwa Nape..tumia akili yako vzr kijana.
 
Sio mwisho wa maisha ya Nape amezidi kujizolea umaarufu tu. Na pia sio mwisho wa maisha ya Nape jamani.
Acha mbegu ya Nape ife lumumba na ikichipua kwingineko itasitawi na kuwa kivuli kizuuri kwa wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…