Nape Amchana Mtatiro Pamoja Na Upinzani

Nape Amchana Mtatiro Pamoja Na Upinzani

sajosojo

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2010
Posts
1,028
Reaction score
650
eti wanafanya siasa za kiwango cha chini, siasa yao kubwa inalenga katika kujenga chuki kati ya wananchi na serikali yao, hawatoi majibu ya matatizo ya wananchi wanalaumu tu
source star tv
 
nape kabanwa mbavu anatakiwa ajibu hoja sio kuleta siasa
 
Mawazo ya NAPE hayakuwepo kabisa kwa ajiri ya kumsikiliza MTATIRO ila muda mwingi alikuwa anaiwaza CDM.
 
eti wanafanya siasa za kiwango cha chini, siasa yao kubwa inalenga katika kujenga chuki kati ya wananchi na serikali yao, hawatoi majibu ya matatizo ya wananchi wanalaumu tu
source star tv

Mkeo ndiye kakushauri uandike title ye kinafiki kama hii... hivi wewe ulikuwa unaangalia TV au mkeo ndiye kakusimulia ndipo ukaaandika.....????????
 
eti wanafanya siasa za kiwango cha chini, siasa yao kubwa inalenga katika kujenga chuki kati ya wananchi na serikali yao, hawatoi majibu ya matatizo ya wananchi wanalaumu tu
source star tv

Amemchana na wembe au kisu?
 
Nasepa kabisa, kumbe NAPE anaetoka chama cha Mizigo, hanapoint huyo!
 
Hoja za Mtatiro zililenga ukweli na hata yule wa nccr pia.

Kilichoongelewa na mtatiro ndiyo maisha ya wanzania waliowengi, kunyanyaswa, kubakwa, kudhurumiwa, kufukuzwa

katika maeneo yao ya sili,
kubambikiziwa kesi na akatowa mifano, mauwaji ya mwangosi, mateso ya wanamtwara nk.

Nape alikuwa anahubiri siasa na dhalia hivyo nikama kihiyo asiyefahamu nchi inaendaje wakati huohuo anakiri udhifu.
 
Mkeo ndiye kakushauri uandike title ye kinafiki kama hii... hivi wewe ulikuwa unaangalia TV au mkeo ndiye kakusimulia ndipo ukaaandika.....????????

kwani ushauri mbovu lazima utoke kwa mwanamke?au mawazo ya kinafiki ni ya wanawake tu?acha kuwadhalilisha mama zetu mkuu
 
Back
Top Bottom