kwa maoni yangu nape na chama chake ni maiti iliyobaki najoto wenyewe magamba wakiigusa wanaamini itaamka au bado imezima tu itaamka soon, kwishaaah, nakwamwendo huu nitaenda kujibu hoja za hao mashehe njaa kusini, namimi ni mkusini na pia muislam waache kufuta nyayo zetu.