Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
huu ndio umati mkubwa uliokuwa ukisikiliza sera za nape.
A. Pale Ilula watu wengi wanatokea milimani ambapo malori hayawezi kufika kwa urahisi. Hivyo ndio maana hatukupata watu wengi sana. Ila afadhali hii maana kuna nyingine tumezihifadhi nadhani tutazidelete tu.
B. Ila hii ya hapa Iringa ilibidi nitoe wazo kwa mkubwa kuwa inabidi tufanyie mkutano kwenye mikusanyiko ya watu la sivyo tutapata aibu.
Alilikubali wazo langu ila tukaanza kupitia kimoja kimoja:-
1. Hospital - Hili lilikuwa gumu kwa sababu tungepigia wagonjwa kelele.
2. Shuleni - Ikategemea na mida maana ilikuwa tuanze mchana na pia picha zingetoka na watoto wengi.
3. Stend - Tatizo kubwa la iringa stend pale hakuna open area ya kufungia jukwaa halafu CDM wengi.
4. Ndio tukapata sokini kama munavyoona. Ilikuwa kazi we acha tu.
Ahsante.
Kwa taarifa yenu hiyo picha ni ya mwaka 2005 ,
aliyeiweka hapo aseme ilipigwa lini
Kwa taarifa yenu hiyo picha ni ya mwaka 2005 ,
aliyeiweka hapo aseme ilipigwa lini
Mbona unaleta habari za uongo kijana? Kweli Nape ana wanyima usingizi.
huu ndio umati mkubwa uliokuwa ukisikiliza sera za nape.
Siku nyingine usiweke picha kama hii unamkatisha tamaa tutakosa wa kucheka nae 2015 mbali bila kuwa na kina nape kuleta vituko mara oil chafu tunacheka, ukionyesha picha tena atajitoa ccm na sisi tunataka abaki pekeye kimfie andiko litimie. Ngumi nzuri ni za mohamed ali alikuwa anafurahisha watazamaji lkn za tyson uko ktk foleni ya tiketi kamaliza, cdm legezeni wafike 2014 wakabidhi Nchi vizuri kuingia ikulu bila handing over haipendezi unakosa pa kuanzia.
huu ndio umati mkubwa uliokuwa ukisikiliza sera za nape.
huu ndio umati mkubwa uliokuwa ukisikiliza sera za nape.