Nape ailipua CHADEMA

Na siku Waislamu wakiamua kuandamana kudai mahakama ya kadhi wakipigwa na polisi usije kulalamika, kwani wakati mwingine wewe uko kama popo
Acha ujinga wewe, mnapenda kuwatumia waislam kama daraja, mliowapata akina safari na vimeo vya aina hiyo.wanafiki.
 

View attachment 186523

Kwa jinsi ulivyo inawezekana kabisa na wewe ni miongoni mwa hawa wanaogalagazwa kama misukule na Nape yeye akiwa juu ya jukwaa anapayuka na vuvuzela lake la asili.
 
Unaonekana kama umechanganyikiwa vile. Tafadhali unaweza kumuona daktari aliye karibu nawe?
 

View attachment 186524 View attachment 186525 View attachment 186526 View attachment 186527
 
-Sista foxy, salute sana. Karibu kijiweni. Jawa chagadema mburilas bin mburals hawana adamu kabisa

Lebig Show. King of all social networking. Sauti ya umeme@NY

Elimu ya watu wazima bado ipo
 

Naona wenye upeo mdogo unaolingana mnapongezana kwa ujinga uliowajaa ndani ya vichwa vyenu. Tangu lini Nape akawa na akili au uzalendo kwa taifa lake?
 

Tatizo la elimu ya madrasa.
 
Amani kwako,habari ya kitambo.
Mbowe siyo mtu wa maana anao hao wengi sana kaharibu mpaka yule mtoto wa wasira aliyehemia chadema kwa sasa anamtoto chadema chaka la michepuko.

hata ma.... yako pia.
 
Chadema wanazidi kuchanganyikiwa kadri tunavyokaribia uchaguzi mkuu
 
Sidhani kama AKILI yako inafanya kazi vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…