Kine Master Senior Member Joined Aug 4, 2022 Posts 153 Reaction score 71 Aug 28, 2022 #21 Don Moen said: Barikiwa kijana wangu Click to expand... nimesahau terehe ya kuzaliwa but mwezi na mwaka nimekariri msaada please..
Don Moen said: Barikiwa kijana wangu Click to expand... nimesahau terehe ya kuzaliwa but mwezi na mwaka nimekariri msaada please..
lyenyi JF-Expert Member Joined Mar 4, 2020 Posts 2,671 Reaction score 7,350 Aug 28, 2022 #22 Wasiliana na ofisi ya NIDA, wilaya ulipo. Kwa msaada zaidi.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,279 Reaction score 185,555 Aug 28, 2022 #23 Natumae mleta mada ulipata muongozo...
G godson njamakuya Senior Member Joined Mar 6, 2021 Posts 170 Reaction score 193 Aug 28, 2022 #24 Emmanuel180 said: Oooh ahsante sana asee Click to expand... Hamna kitu, nimejaza taarifa zangu zote.Wananijibu niende Ofisi za NIDA kuhakiki taarifa zangu.
Emmanuel180 said: Oooh ahsante sana asee Click to expand... Hamna kitu, nimejaza taarifa zangu zote.Wananijibu niende Ofisi za NIDA kuhakiki taarifa zangu.
lyenyi JF-Expert Member Joined Mar 4, 2020 Posts 2,671 Reaction score 7,350 Aug 28, 2022 #25 godson njamakuya said: Hamna kitu, nimejaza taarifa zangu zote.Wananijibu niende Ofisi za NIDA kuhakiki taarifa zangu. Click to expand... Ndio maana hapo juu nimesema wasiliana na ofisi ya NIDA wilaya ulipo
godson njamakuya said: Hamna kitu, nimejaza taarifa zangu zote.Wananijibu niende Ofisi za NIDA kuhakiki taarifa zangu. Click to expand... Ndio maana hapo juu nimesema wasiliana na ofisi ya NIDA wilaya ulipo
Don Moen JF-Expert Member Joined Nov 12, 2020 Posts 1,719 Reaction score 3,284 Sep 5, 2022 #26 Kine Master said: nimesahau terehe ya kuzaliwa but mwezi na mwaka nimekariri msaada please.. Click to expand... Huu ni utani wa ngumi labda unamtafutia mtu, huwezi kusahau tarehe ya kuzaliwa
Kine Master said: nimesahau terehe ya kuzaliwa but mwezi na mwaka nimekariri msaada please.. Click to expand... Huu ni utani wa ngumi labda unamtafutia mtu, huwezi kusahau tarehe ya kuzaliwa
Kine Master Senior Member Joined Aug 4, 2022 Posts 153 Reaction score 71 Sep 7, 2022 #27 Don Moen said: Huu ni utani wa ngumi labda unamtafutia mtu, huwezi kusahau tarehe ya kuzaliwa Click to expand... Ni ukweli mtupu mkuu na nimehangaika sana sema mawazo imekua ndivyo sivyo...
Don Moen said: Huu ni utani wa ngumi labda unamtafutia mtu, huwezi kusahau tarehe ya kuzaliwa Click to expand... Ni ukweli mtupu mkuu na nimehangaika sana sema mawazo imekua ndivyo sivyo...