Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

Nyingine ni za kulipia na nyingine ni for serious relationship kama eharmony, happn na nyingine.

Ila kama unataka watoto wazuri wa kula nao good time na hata ndoa baadae anza na tinder, meet me, zoosk, tantan, match.com na nyingine. Unataka malaya waliokubuhu, mashoga nenda badoo, hitwe na eskimi, adam4adam, grindr na nyinginezo. Chagua mwenyewe.
Duh Mfawidh nadhani hata uyo shetani mwenyewe anakuogopa na anataka aje ajifunze vitu kwako maana si kwa taarifa hizi
 
Mabaharia kuna group telegram kama maNNE watotos kama wote huduma zote wanatoa ni balaa tena wakuaminika hakuna utapeli kulee ngoja nikaitafute link nitupie hapa
Boss kubwa fanya la msingi la kunitupia hizo links kwa Majaliwa
 
Hapana.
Ila badoo ilinishinda inataka niweke picha yangu halisi nika uninstall.
Wengine sisi ni watu na heshima zetu kwenye jamii na maarufu.
Ndo kilichonishinda hata mimi Badoo japo kuna mtu aliniambia yeye ameweza kuweka ya tofauti sijajua kama anazingua au la..
Ngoja nitaicheki hiyo hi5
 
Mademu wa badoo warahisi sana yaani ukigusa tu imooo
Sio warahisi..wale wapo kazini.
Tofauti yake ni ndogo sana wale na wale wahaya wa Temeke Sudani.
Wa Temeke kakaa kwenye kichumba chake mlanho kaacha wazi anatega ila wa badoo kaweka picha yake katega nasubiri mteja!
 
Nilizopiga zinafanya kazi zao za maana ila naona wamekua desparate na ndoa au relation
 
Back
Top Bottom