peterbundalla
Member
- Dec 30, 2018
- 9
- 13
Naomba anaye fahamu kuhusu utaratibu wa upatikanaji wa leseni ya KUKOPESHA hela ya riba aniambie nina mtaji wa mil 10
Mimi naomba ajira tu kama zitakuwepoNaomba anaye fahamu kuhusu utaratibu wa upatikanaji wa leseni ya KUKOPESHA hela ya riba aniambie nina mtaji wa mil 10
Mtaji hautoshi. Leseni hutolewa na BOT na lazima uwe na ofisi, ulipe mapato na pia uwe na mtaji above 40m utakaoonekana inazunguka kwenye bank statment na mwisho ujuwe luwaimprest maafisa 😂😂Naomba anaye fahamu kuhusu utaratibu wa upatikanaji wa leseni ya KUKOPESHA hela ya riba aniambie nina mtaji wa mil 10
Uko mkoa gani kuna lesseni aina 2 za kukopesha. nione private nikupe ufafanuziNaomba anaye fahamu kuhusu utaratibu wa upatikanaji wa leseni ya KUKOPESHA hela ya riba aniambie nina mtaji wa mil 10
😲 wengine hatutaki kujua? Acha utapeliUko mkoa gani kuna lesseni aina 2 za kukopesha. nione private nikupe ufafanuzi
Wewe ndio tapeli huna adabu😲 wengine hatutaki kujua? Acha utapeli
Sina adabu Sawa Sawa kabisa.wewe ndio tapeli huna adabu
Huwa nachukia sana mtu akisema njoo private..Sina adabu Sawa Sawa kabisa.
Ila nyuzi zikianzishwa hapa zina raise interest kutoka Kwa watu wengi sio muanzishaji Tu. Nilifikir unatakiwa uwe unalijua hili kwa kua Una "adabu" wewe
Wewe mpigaji tu huna lolotewewe ndio tapeli huna adabu
Kuna Uzi nimewah ona humu unazungumzia suala hili.. mtaji minimum walisema 20m tzs, leseni kutoka BOT, .. experience ya bro flan mwaka 2015 Alianza na 2m ila kwa Siri i.e bila leseni,,, then 2019 nilipata taarifa kua alikua na mtaji wa 20m+ so try utakavyoweza kupitia leseni au kimyakimya ukiandaa namna ya kuwabana wateja wako kimyakimya pia. Kila la heriNaomba anaye fahamu kuhusu utaratibu wa upatikanaji wa leseni ya KUKOPESHA hela ya riba aniambie nina mtaji wa mil 10
Wewe ndiye huyo kwny hio avatar mkuu?Mimi naomba ajira tu kama zitakuwepo
hapana ni mke wangu mtarajiwa nikipata pesaWewe ndiye huyo kwny hio avatar mkuu?
Sawa mkuu,all the best.hapana ni mke wangu mtarajiwa nikipata pesa
Habari me ni yule niliye uliziA leseni ya kukopeshawengine hatutaki kujua? Acha utapeli