Kim McDamon
Member
- Feb 23, 2019
- 46
- 9
Natanguliza shukrani wana jopo
Ili nipate kitambulisho chataifa naanza na process Gani na wapi
Masaada plz
Ili nipate kitambulisho chataifa naanza na process Gani na wapi
Masaada plz
Natanguliza shukrani wana jopo
Ili nipate kitambulisho chataifa naanza na process Gani na wapi
Masaada plz
Nimeipenda hiiKama uko dsm Nenda Brella jifanye unasajiri kampuni na huna kitambulisho , watakupa utaratibu na utapata id yako fasta
Sent from my iPhone using JamiiForums
Fuata hatua zifuatazo.
1 • Chukua fomu toka ofisi ya Nida katika mji/wilaya unayoishi.
2 • Jaza fomu yako kwa kalamu nyeusi.
3 • Peleka formu kwa Mwenyekiti wa mtaa upate stamp na signature yake. Hapa pia atakupatia barua ya uthibitisho ikiwa imegongwa muhuri.
4 • Toa copy ya kitambulisho cha kura.
5 • Sasa rudi tena Nida halafu wakabidhi.
Baada ya hapa sasa utapata stamp ya Ofisi ya Uhamiaji na utakuwa tayari kupigwa picha ili taarifa zako zianze kufanyiwa kazi kidigitali.
Kuhusu muda wa kukamilika I don't know.
Inaweza ikawa mwezi au miezi.
Kumbuka wapo ambao walikamilisha kujaza taarifa zao, wakapigwa picha lakini bado hawajapata.
Ni slow process kuwa tu mvumilivu.
Hii haiwezi kunipa shida ? Km wakijua sina haja yakusajili kampuni?Kama uko dsm Nenda Brella jifanye unasajiri kampuni na huna kitambulisho , watakupa utaratibu na utapata id yako fasta
Sent from my iPhone using JamiiForums
asante mkuu Ila nimesikia kwa mtu mmoja HV punde akisema Unaanza kwenda serikali za mtaa kwanza then unaenda NIDAFuata hatua zifuatazo.
1 • Chukua fomu toka ofisi ya Nida katika mji/wilaya unayoishi.
2 • Jaza fomu yako kwa kalamu nyeusi.
3 • Peleka formu kwa Mwenyekiti wa mtaa upate stamp na signature yake. Hapa pia atakupatia barua ya uthibitisho ikiwa imegongwa muhuri.
4 • Toa copy ya kitambulisho cha kura.
5 • Sasa rudi tena Nida halafu wakabidhi.
Baada ya hapa sasa utapata stamp ya Ofisi ya Uhamiaji na utakuwa tayari kupigwa picha ili taarifa zako zianze kufanyiwa kazi kidigitali.
Kuhusu muda wa kukamilika I don't know.
Inaweza ikawa mwezi au miezi.
Kumbuka wapo ambao walikamilisha kujaza taarifa zao, wakapigwa picha lakini bado hawajapata.
Ni slow process kuwa tu mvumilivu.
Hii haiwezi kunipa shida ? Km wakijua sina haja yakusajili kampuni?