Habari mkuu, kuna vitu vichache sijaelewa jee app yako inahitaji data base moja ambayo app zote zitashare au database kwa ajili ya single app.
Kama database ni kwa ajili ya single app consider using Room database upande wa Android.
Ikiwa lengo ni ku share a single database across all your application then consider developing Application Programming Interface(API) kisha baada ya hapo swala la hosting nazani sio tatizo kubwa hata hapa bongo kuna baadhi ya kampuni zinatoa hosting kama vile Tanzahost. Sema hosting nyingi za kibongo ni pasua kichwa mara system ipo down so kutumia za nnje yaweza kuwa njia nzuri.