Kisesa Yetu
JF-Expert Member
- Aug 2, 2015
- 434
- 344
Wanandugu kama yupo mtu anayejua sehemu (Dar es Salaam) nayoweza kupata vifuu vya nazi kwa wingi
Post sent using JamiiForums mobile app
Post sent using JamiiForums mobile app
Kipo sehemugani ndugu?nenda kiwanda cha Nazi azam
iPhone 6
Zaidi ya tani 1 (kilo 1,000)Kama vingapi hivi kwa ujazo wa roba kubwa
UmeniwahiVya kazi gani mkuu vifuu hivyo?
Vya kazi gani mkuu vifuu hivyo?
Vya kazi gani mkuu vifuu hivyoQUOTE]
Nahisi anafanya project ya kuzalisha carbon za kunyonyea dhahabu kwa njia inayoitwa CIL au Carbon In Leach
MIMI NINANYO NITAFUTEWanandugu kama yupo mtu anayejua sehemu (Dar es Salaam) nayoweza kupata vifuu vya nazi kwa wingi
Post sent using JamiiForums mobile app