Napata wapi kuchi Mwanza?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,760
Reaction score
3,858
Natafuta kuku aina ya Kuchi kwa Mwanza au mikoa ya karibu kama Simiyu au Geita na Shinyanga




Mikoa maarufu ; Niliwaona mara ya mwisho Tabora. Lakini tafiti zinaonesha hii mikoa wanapatkana
Singida,Tabora, Shinyanga, na Dodoma

Sifa ni kuku wakubwa sana!!!.Warefu na wenye nyama nyingi. Jogoo anaweza fika had kilo 3.5kg na tetea kilo 2kg

Kama una vifaranga au kuku wa aina hii andika namba yako tukufikie.
 
Nenda Shinyanga soko la nguzo nane, miaka ya nyuma walikuwa wanauzwa kwa wingi sana
 
Kuchi nenda deluxe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…