Napata wapi kitabu hiki?

Napata wapi kitabu hiki?

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
567
Wakuu habar zenu

Natafuta iki Kitabu …wap kinauzwa?
IMG_9261.jpg
 
Kwenye duka la Ibn Hamza linatizama msikiti wa Manyema.Au wasiliana na mzee wetu wa historia ya uhuru wa Tanganyika Mohamed Said.
 
Vitabu vya zamani tutapata wapi.
Mfano karumekenge, adili na nduguze, msolopagazi, aladin na safari za kutisha, vitabu vya jiografia, sayansi kimu, kilimo, ufundi atlas za zamani, vilivotumika syllabus za miaka ya 70 hadi 90 shule za msingi.
 
Chizi...
Hiki kitabu kinauzwa Dar es Salaam Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro, Msikiti wa Manyema na Msikiti wa Mtambani bei elfu kumi tu.

Asante sana …mm Niko MKOANI kama nitapata namba za Mtu anayeuza nitashukuru…
 
Kwenye duka la Ibn Hamza linatizama msikiti wa Manyema.Au wasiliana na mzee wetu wa historia ya uhuru wa Tanganyika Mohamed Said.

Niko MKOANI mkuuu … izo location ulizotaja sizifahamu
 
Mimi nahitaji hichi kitabu You have got it coming ,mtunzi James Hadley Chase.
 
Back
Top Bottom