spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,142
- 21,907
[emoji23][emoji23][emoji23]nzur ioooKula tunda bwa’mdogo, umri waachie NIDA.
tubadlishane tu juz nlkutana na mmoja nkamwambia 26 kumbe yeye 27 ngemwambia 24 cjui ingekuajeMi kinyume chake mkuu hadi huwa najichukia. Mm nina 40+ ila vitoto vya 18 -25 ndo navipata, kila nikijitahidi kutafuta wakubwa wenzangu sipati. Sasa size hii bado mapepe vinapigwa kama mpira wa kona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute na yeye kapunguza, labda ni 30+tubadlishane tu juz nlkutana na mmoja nkamwambia 26 kumbe yeye 27 ngemwambia 24 cjui ingekuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
sawaaaaUmeshaambiwa, Umri waachie NIDA we umri unaenda nao wapi?? Kwanza, ukioa mwanamke unamzidi sana umri utaja zeeka kabla yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwa unauliza umri kama unaandika sensa..?
Aiseeee.......kumbe.....
Kula tunda bwa’mdogo, umri waachie NIDA.
Kama anafanya Kazi NIDAHuwa unauliza umri kama unaandika sensa..?