BIG X JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 777 Reaction score 212 Nov 23, 2012 #1 Yani kuna wadada wazuri jamani, yani wameumbika utadhani wamechorwa, yaani ukiwaona unafikiria mara mia mia yaani ukimpata sijui utamfanyafanyaje!!, nitamnyonganyonga, nitambinyabinya...., yaani, yaani..... Napata tabu mie, loh!!.
Yani kuna wadada wazuri jamani, yani wameumbika utadhani wamechorwa, yaani ukiwaona unafikiria mara mia mia yaani ukimpata sijui utamfanyafanyaje!!, nitamnyonganyonga, nitambinyabinya...., yaani, yaani..... Napata tabu mie, loh!!.
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,946 Reaction score 5,087 Nov 23, 2012 #2 BIG X haya maneno/maandishi uliyotumia mbona yananitia shaka kama wewe ni wa kiume/rijali. samahani lakini
BIG X haya maneno/maandishi uliyotumia mbona yananitia shaka kama wewe ni wa kiume/rijali. samahani lakini
Scofied JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,456 Reaction score 1,694 Nov 23, 2012 #3 Peleka chit chat....
BIG X JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 777 Reaction score 212 Nov 23, 2012 Thread starter #4 Gamaha said: BIG X haya maneno/maandishi uliyotumia mbona yananitia shaka kama wewe ni wa kiume/rijali. samahani lakini Click to expand... Tabu kweli!!, we unamjua vipi mtu rijali kwa maneno!!, Nway hao walikuwa wazee wa kipemba wanaongea hivyo!.
Gamaha said: BIG X haya maneno/maandishi uliyotumia mbona yananitia shaka kama wewe ni wa kiume/rijali. samahani lakini Click to expand... Tabu kweli!!, we unamjua vipi mtu rijali kwa maneno!!, Nway hao walikuwa wazee wa kipemba wanaongea hivyo!.
BIG X JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 777 Reaction score 212 Nov 23, 2012 Thread starter #5 Scofied said: Peleka chit chat.... Click to expand... Watu waliofeli hesabu utawajua tu!!.
Nivea JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 7,460 Reaction score 4,771 Nov 23, 2012 #6 Anzia hilo zoezi kwa mbuzi then nenda kwa binadamu mbuzi kwa hiyo mambo ni mtamu sana
Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,373 Reaction score 3,586 Nov 24, 2012 #7 Jini Mahabbbaaaaa!
K kigoda JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,781 Reaction score 361 Nov 24, 2012 #8 Nimeingia bila hodi kujua tabu unayopata. Kwako hiyo ni tabu? Lol tumetofautiana sana!
BIG X JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 777 Reaction score 212 Nov 24, 2012 Thread starter #9 nivea said: Anzia hilo zoezi kwa mbuzi then nenda kwa binadamu mbuzi kwa hiyo mambo ni mtamu sana Click to expand... We nawe! hebu fanya hii hesabu kwanza 0.5[SUP]x[/SUP]=(1/(4x)), chokoza x.
nivea said: Anzia hilo zoezi kwa mbuzi then nenda kwa binadamu mbuzi kwa hiyo mambo ni mtamu sana Click to expand... We nawe! hebu fanya hii hesabu kwanza 0.5[SUP]x[/SUP]=(1/(4x)), chokoza x.
BIG X JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 777 Reaction score 212 Nov 24, 2012 Thread starter #10 kigoda said: Nimeingia bila hodi kujua tabu unayopata. Kwako hiyo ni tabu? Lol tumetofautiana sana! Click to expand... Na kila binadamu atabeba msalaba wake!!, Tukifanana itakuwaje!!.
kigoda said: Nimeingia bila hodi kujua tabu unayopata. Kwako hiyo ni tabu? Lol tumetofautiana sana! Click to expand... Na kila binadamu atabeba msalaba wake!!, Tukifanana itakuwaje!!.
K kigoda JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,781 Reaction score 361 Nov 24, 2012 #11 BIG X said: Na kila binadamu atabeba msalaba wake!!, Tukifanana itakuwaje!!. Click to expand... Hapo nimekupata mkuu! Kila mtu na starehe yake!!
BIG X said: Na kila binadamu atabeba msalaba wake!!, Tukifanana itakuwaje!!. Click to expand... Hapo nimekupata mkuu! Kila mtu na starehe yake!!
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,279 Reaction score 98,879 Nov 24, 2012 #12 GMF Harakati ni magirini,Mapigo is on the menu choose one!