Napata maumivu ya kichwa mfululizo naomba msaada

Kingdan

Member
May 5, 2020
61
49
Habari zenu wakubwa,

Naombeni msaada juu ya hili..Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya kichwa kila mara. Nimejitahidi kutumia dawa za kupunguza maumivu hazisaidii. kwenye vipimo naambiwa sina ugonjwa.

Naombeni msaada wenu ili niweze kupona tatizo hili wakubwa!
 
Bhasi damu imezidi mkuu...!! Pole sana jaribu kwenda kuchangia damu tena hii hali Itaishaa acha kunywa dawaa za maumivu kila siku maana hazitakusaidia kutibu tatizo bali zinatibu matokeo ya tatizo ambapo ni Damu kuzidi kiwango mwilini. Nenda hospital wakupime kiwango cha damu kwa uhakika zaidi.
Nilitoa damu mara moja tu mwaka 2016 kiongozi.....Maji najitahidi kunywa kwa wingi pia
 
Habari zenu wakubwa,

Naombeni msaada juu ya hili..Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya kichwa kila mara. Nimejitahidi kutumia dawa za kupunguza maumivu hazisaidii. kwenye vipimo naambiwa sina ugonjwa.

Naombeni msaada wenu ili niweze kupona tatizo hili wakubwa!
Kunywa maji mengi.... Pata muda wa kupumzika.
 
Habari zenu wakubwa,

Naombeni msaada juu ya hili..Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya kichwa kila mara. Nimejitahidi kutumia dawa za kupunguza maumivu hazisaidii. kwenye vipimo naambiwa sina ugonjwa.

Naombeni msaada wenu ili niweze kupona tatizo hili wakubwa!
Kapime macho
 
Badilisha hospitali na daktari nenda sehemu nyingine mbili tatu mwone daktari tofauti uone anakupa jibu gani usijali gharama hayo ni maisha yako.
 
Maumivu ya kichwa ni matokeo ya sababu nyingi mfano macho, presha, typhoid, malaria, n.k

Sasa daktari makini anapaswa kuangalia mengi kabla ya kukwambia huna tatizo.
 
Hiyo ni dalili ya presha kuzidi ambayo mara nyingi husababishwa na uzito wako kuzidi kiwango chunguza hilo au kapime hospitali wathibitishe
 
Fanya na maombi, maombi yanaleta wepesi wa tatizo kujulikana kwa rehema za Mungu.

Nenda kwenye maombi .

Ikishindikana nenda Muhimbili kwa bingwa wa kichwa.
 
Habari zenu wakubwa,

Naombeni msaada juu ya hili..Nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu ya kichwa kila mara. Nimejitahidi kutumia dawa za kupunguza maumivu hazisaidii. kwenye vipimo naambiwa sina ugonjwa.

Naombeni msaada wenu ili niweze kupona tatizo hili wakubwa!
una celebral pus... hahahahahahaah
 
Back
Top Bottom