wanawake mnadanganyika kirahisi.
swali kama hili nilitegemea liulizwe na kiumbe wa darasa la saba huko kijijini ikungulyabashashi kwa sababu ndiko hakuna elimu nzuri juu ya HIV/AIDS...
btw, majibu hutolewa within 30 minutes (considering other factors), hiyo ya kurudi baada ya miezi mitatu ni kwa ajili ya kuthibitisha zaidi kuwa uko affected ama la.
halafu, kwanini hamkwenda kupima pamoja?.. siku hizi watu wana fake mpaka majibu ya VVU/UKIMWI. kuwa macho.
Habari zenu wana-MMU!!
Kwanza natanguliza pole zangu kwa wale wote waliofikwa na maafa ya mafuriko na hata wengine kupoteza maisha!! Nasema poleni sana!
Back to the topic,.
Nimekuwa kwenye mahusiano na mpenzi wangu kwa mwaka sasa,. Yeye yupo Dar na mimi nipo nje ya Dar kimasomo, na yeye pia ni mwanafunzi wa chuo!!
Wakati niliporudi likizo nilimwambia huyu mpenzi wangu akapime afya yake kabla hatujashiriki tendo baada ya kuhakikisha mimi sina tatizo,.
Alienda kwenye hospitali moja hapahapa Jijini Dar inaitwa IMTU akaambiwa yupo salama ila arudi baada ya miezi mitatu kupima tena ili kupata uhakika,.
Nilipokutana na huyu mpenzi wangu nikamuuliza majibu vipi?? Akanijibu hawatoi majibu mpaka mtu apime mara 3 ndiyo wanatoa majibu,.
Kwa kuwa nilimuamini huyu mpenzi wangu nilimuelewa tukala tunda la mti wa kati!! Ila baadae nimekuja kujihoji maswali mengi kwamba inawezekana kweli asipewe matokeo ya vipimo vyake? Au alidanganya?? Wakuu nilitumia mpira maana UKIMWI hatari!!
ha ha ha umenichekesha eti nini? unapewa majibu ukishapima mara 3???Hilo changa la macho ..Ninavyojua mm majibu unapewa papo hapo.Huyo mwenzako naona aliondoka bila kuchukua majibu kwa hofu au anayo majibu na si yakuridhisha na ndio maana anakudanganya!!Point of correction:Mlitakiwa mkapime pamoja kuondoa mzizi wa fitina!🙂
Kama uliweza tu kuamini majibu ya mdomoni kuwa "Yupo salama" Kwa nini ulimtaka akapime?? Kama ulitaka kujizuia na maambukizi, kwa nini ulipoambiwa na yeye mwenyewe kuwa "yupo salama" mkalana mbichi??? (bila kinga?). We kwenye umepanga kujiua na kumuua mwenzio!! Yeye alikuamini vipi kuwa upo salama kwa vipimo ulivyofanya peke yako?Habari zenu wana-MMU!!
Kwanza natanguliza pole zangu kwa wale wote waliofikwa na maafa ya mafuriko na hata wengine kupoteza maisha!! Nasema poleni sana!
Back to the topic,.
Nimekuwa kwenye mahusiano na mpenzi wangu kwa mwaka sasa,. Yeye yupo Dar na mimi nipo nje ya Dar kimasomo, na yeye pia ni mwanafunzi wa chuo!!
Wakati niliporudi likizo nilimwambia huyu mpenzi wangu akapime afya yake kabla hatujashiriki tendo baada ya kuhakikisha mimi sina tatizo,.
Alienda kwenye hospitali moja hapahapa Jijini Dar inaitwa IMTU akaambiwa yupo salama ila arudi baada ya miezi mitatu kupima tena ili kupata uhakika,.
Nilipokutana na huyu mpenzi wangu nikamuuliza majibu vipi?? Akanijibu hawatoi majibu mpaka mtu apime mara 3 ndiyo wanatoa majibu,.
Kwa kuwa nilimuamini huyu mpenzi wangu nilimuelewa tukala tunda la mti wa kati!! Ila baadae nimekuja kujihoji maswali mengi kwamba inawezekana kweli asipewe matokeo ya vipimo vyake? Au alidanganya?? Wakuu nilitumia mpira maana UKIMWI hatari!!
Kama uliweza tu kuamini majibu ya mdomoni kuwa "Yupo salama" Kwa nini ulimtaka akapime?? Kama ulitaka kujizuia na maambukizi, kwa nini ulipoambiwa na yeye mwenyewe kuwa "yupo salama" mkalana mbichi??? (bila kinga?). We kwenye umepanga kujiua na kumuua mwenzio!! Yeye alikuamini vipi kuwa upo salama kwa vipimo ulivyofanya peke yako?
Sasa nyie ni wanafunzi wa chuo mko hivyo...je wale darasa la saba vijijini?
sijaelewa unazungumzia elimu ya nani mkuu!!
Ahsante kwa kuchangia.