Duh! Nimekumbuka enzi zangu nilipohitimu masomo yangu ya sekondari!
Aisee nilipata ajira ya muda katika hoteli moja ya kitalii inaitwa Four seasons safari lodge (formerly called Bilila lodge, Kempnsiki) ndani ya mbuga ya serengeti....
Kuna mjamaa mmoja hivi aisee alikuwa hana masihara inapokuja suala la kula! Msosi wake asubuhi unakuta mayai ni >4, slace za mikate ni >8, hapo kaweka chai ya maziwa kando, juice ya machungwa, maji na vingine vitakavyokuwepo!!:becky::becky:
Baada ya hapo anaanza kula mdogo mdogo mpaka sahani ibaki na uzito alioichukulia!! hahahaaa!!
The guy was real!