Napangisha vyumba vya ofisi

bondobiznes

Member
Joined
Jan 17, 2019
Posts
10
Reaction score
5
Napangisha vyumba vya ofisi *(office to let)*
Katikati ya mji hapa *Dodoma* karibu na *chef asili*
Njoo tukupangishe ufungue ofisi yako *Idodomya kuswanuu*
Agweeee
0715170553
Email: mabondojr@gmail.com
Instagram: bondobiznes_tz
 
Karibu na chef asili ni flow ya juu au Ni floor ya chini ground floor
 
Rafiki yangu Mwl, ikiwa upo tayari kukodi njoo inbox 7bu havilingani bei
Yaani watu bado kabisa kwenye online business! Yaani mtu apige simu kuulizia bei?! Wengine utawasikia "anayehitaji atapiga tu simu!"

Kwangu mini hiyo ni kauli ya kishamba kwa sababu siku hizi biashara ni ushindani! Wakati wewe unakodisha ofisi, kuna wengine kadhaa wanakodisha ofisi vile vile!

Na hata kama bei ni tofauti, hiyo sio justification! Kama unapangisha per square feet, unaweka hizo details in advance! Kwanza kuna wengine wana aleji na simu; mimi mmoja wapo! Mimi nanunua sana, tena sana vitu mtandaoni! Lakini nanyanyua simu pale ambapo tayari nimeshafanya maamuzi ya kununua! I badly hate talking to phone, na sijui kwanini!! Sasa wewe mteja wa aina yangu huwezi kumpata unless kama unaamini biashara husika unaifanya peke yako!

Kama kuna huduma za ziada zinazoweza kuongeza competitive advantage, ulitakiwa kuziweka! Kwa mfano, kuna standby generator, shared office space n.k, n.k! Na kwavile hivi sasa Dom kuna wakazi wengi tu ambao bado ni "wageni", ningeambatanisha hadi Google Map--


​
Sawa, ipo katikati ya mji! Mtaa upi? Katikati ya mji kuna Asili Chef moja peke yake?! Ipi kati ya hizo hapo juu?! Au ndo hivyo tena, akitaka kujua direction ipi, atapiga simu!! What you guys don't know ni kwamba, ukiweka details za kutosha, simu nyingi utazopokea ni kutoka kwa potential customers ambao wamefikia uamuzi kwa angalau 75% na kilichobaki ni kutaka kufahamu some minor details! Kinyume chake, usishangae mtu anakupigia na kuuliza "upo karibu na Chef Asili ipi!" Au kama mdau hapo juu aliyeuliza upo floor ya chini au ya juu; manake wakati wengine tuna aleji kuongea na simu, wengine hiyo ndiyo hobby yao especially kwa hizi bundle, ambapo mtu akiona kifurushi kinataka ku-expire, anaweza kuanza kupiga simu bila ya sababu za msingi na kwahiyo wala hawawezi kuona taabu kupiga na kuuliza mpo floor ipi wakati hata meza ya kuuzia pipi hana!!

TIP: Watu wengine ukiwaambia eti njoo PM wanakuona tapeli tu, na kama sio tapeli basi wanakuona wanataka kuwakamatia! Kama una biashara inayoeleweka na isiyo na magumashi yoyote, kwanini tuongelee gizani mwanzoni tu mwa maongezi?! PM stands for Private Messaging! There's nothing private in doing legal business! Hapa JF, PM ni huduma pendwa kwa wana-MMU kwa sababu za wazi kabisa!!!

Anyway, you can have ALL Tanzanians as your possible customers but not me!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…