MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,500
NAPANGISHA NYUMBA YANGU MPYA IPO KIGAMBONI TOANGOMA NI NYUMBA YA KUISHI FAMILIA MOJA. INA VYUMBA VITATU 3 MASTER INA UMEME MAJI INA UKUTA MZURI.
INAVIEW NZURI MBELE KUNA KOTA ZA NSSF KIGAMBONI.
BEI NI TSH 350,000/=@MWEZI
NAHITAJI KODI YA MIEZI 6 UKIWEZA MWAKA MMOJA.
KARIBUNI
INAVIEW NZURI MBELE KUNA KOTA ZA NSSF KIGAMBONI.
BEI NI TSH 350,000/=@MWEZI
NAHITAJI KODI YA MIEZI 6 UKIWEZA MWAKA MMOJA.
KARIBUNI