Napangisha nyumba ipo Kimara Kibo

Napangisha nyumba ipo Kimara Kibo

Status
Not open for further replies.

kimpango

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
600
Reaction score
717
Habari wajameni kutokana na hali ya mazingira ninahama kutoka kimara kibo kwenda kiluvya ..

Sasa nyumba ninayoihama ni nzuri kukaliwa na mpangaji yeyote kutokana na kuwa karibu na miundombinu yote na usalama wa kutosha ina vyumba viwili vya kulala kimoja master ina public toilet, bafu na store pia jiko na siting room kubwa , maji ya uhakika saa 24 bili binafsi na luku ni vya kujitegemea , ina fensi na eneo la kupaki gari ..iko karibu na barabara kuu ya morogoro road pamoja na kituo cha mwe kasi dakika tatu kwa miguu...

Mi ninahama tu kwa kuwa familia inaogezeka haitonitosha tena..ni tsh 300000 kwa mwezi kwa miezi 6 au kumi na mbili ukija wakati huu uje na kodi ya miezi mitatu ikisha unaendelea na mwenye nyumba nipigie.

0746778046 kama uko serious
 
Mkuu kodi ya miezi mitatu ya nn tena?

Au bado miezi hyo kodi yako ife?
 
Hiyo nyumba ya kufika barabarani kwa dakika tatu labda kama umejengea kwenye hifadhi ya barabara punguza mbwembwe dalali hii mbinu yako imeshashtukiwa
 
Mkuu hilo linawezekana kabisa, mimi mwenyewe nakaa umbali wa dk. 2 toka barabarani, na bado kuna nyumba kama 5 hv ziko mbele yangu kuelekea usawa wa barabara na ni nje ya hifadhi
 
Kimara sehemu gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom