habari ya hapa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 12,788 Reaction score 8,755 May 20, 2016 #1
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,577 Reaction score 12,329 May 20, 2016 #2 Sh ngapi na iko sehemu gani na vipi kuhusu barabara inapitika maana namiliki guta
habari ya hapa JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 12,788 Reaction score 8,755 May 20, 2016 Thread starter #3 Kingsharon92 said: Sh ngapi na iko sehemu gani na vipi kuhusu barabara inapitika maana namiliki guta Click to expand... Iko vingunguti kwa mnyamani, kuhusu barabara usitie shaka utaacha guta Ofisi za mtaa kuna usalama Wa kutosha
Kingsharon92 said: Sh ngapi na iko sehemu gani na vipi kuhusu barabara inapitika maana namiliki guta Click to expand... Iko vingunguti kwa mnyamani, kuhusu barabara usitie shaka utaacha guta Ofisi za mtaa kuna usalama Wa kutosha
Mwana JF-Expert Member Joined Aug 6, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,967 May 20, 2016 #4 habari ya hapa said: View attachment 349137 Click to expand... Hngerah zako Watanznia wanajipenda jamani. Utafika mbal maana vision yako ni zaidi ya hiyo nyumba. Inshallah!
habari ya hapa said: View attachment 349137 Click to expand... Hngerah zako Watanznia wanajipenda jamani. Utafika mbal maana vision yako ni zaidi ya hiyo nyumba. Inshallah!
Kingsharon92 JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 8,577 Reaction score 12,329 May 20, 2016 #5 Haaa darisalama tena umenikosa mkuu darisalama nitakuwa nakuja kutalii tu na kufanya mambo mengine ya kimaendeleo ila kuishi:😡
Haaa darisalama tena umenikosa mkuu darisalama nitakuwa nakuja kutalii tu na kufanya mambo mengine ya kimaendeleo ila kuishi:😡
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,454 Reaction score 1,569 May 20, 2016 #6 Uza hiyo kiyoyozi upate pesa ujenge nyumba. Ushauri tu.....