Napagawa nahisi kudata wakubwa zangu nisaidieni hata mawazo

fundi bishoo

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
12,955
22,654
Wagwan
Wakubwa shikamooni aisee mdogo wenu nina mawazo sana maisha magumu sina hata demu wa kuniliwaza toka nmepigwa kibuti nashindwa hata kutongoza swaga zote zmeondoka au yule demu kaniroga jamani

#yungtemper

yes bishoo haswaaa
 
Kwakua wewe ni bishoo nakushauri piga sana nyeto na vuta bangi nyingi.
It helps

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf imejaa taka taka, ngoja nitafute gari la kuzipeleka dampo kule Pugu Kinyamwezi

ᴳᵒᵈ ᵇˡᵉˢˢ ᵀᵃⁿᶻᵃⁿⁱᵃ ⁿᵒᵗʰⁱⁿᵍ ᵉˡˢᵉ
 
Utakua umefanya jamb la maana

yes bishoo haswaaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…