madogo wanakosea bwashee, kuna viwanja usithubutu kwenda na pisi yako kali wakati wewe kapuku...videmu vyenyewe macho juuBwashee madogo miyeyusho mno halafu pisi zao zinashoboka zenyewe tu😅
Wakumbushe pia Ngwengwe iko huu snaKuna madogo wapenda bata , sasa umetoka zako huko , umekuja night club na demu wako ,kama mnavyosema🤔
Sasa umetua viwanja ukakutana na wanyamwezi wa viwanja , hako ka demu kako kakashoboka kwa mnyama mbele yako ,acha kutia hasira na kuvimbia misuli ya kipumbavu.
Utapigwa bastola ya tako ,halafu mpaka mama yako ajulishwe una tatizo, utakuta ushajifia.
Jifunze kubalance shobo, gademitt.
Hawafi sasa hivi lazima waingize hasara kwanza kwa familia, akipata Leo majuto yake no after 5-10yrsWafe tuuze majeneza bwashee 😅
Siku hizi haitbiliki, Maana watu wote wanazo sio kama zamani wanamiliki watu wanene tuAngalia mkuu,
its 2026 u never know nani ana mkuku na nani hana.
Kuna madogo wanazo hawa Gen z baba zao wanazimilikiSidhani 😅