Naona Wazungu (western countries) wanatushughulikia kimya kimya

Hapana, hawajaanza kutushugulikia, ni hofu tu, bado tuna muda wa kurekebisha makosa, tulishashindwa kupambana nao toka enzi za Mwalimu, ni muda wa kuungana nao kama enzi za Mkapa.
 
Mmm,kwa hiyo tuwaache waendelee kutuibia?Akili zingine mufilisi kabisa.Ninyi ndio mnaoabudu wazungu,ovyo kabisa.Si mhame muwafuate kuko kwao.Hapa hawaoni ndani,ni lazima watuheshimu,after all their survival depends on our resources.Kinachoendelea sasa ni matokeo ya crackdown inayoendelea,it has no relationship to your masters(Wazungu).Things will cool down and our economy will start growing normally again.
Umeonesha ubumbumbu wa hali ya juu kuelewa mada, tuliza akili uelewe kwanza uache kujibu vitu kwa hisia.
 
Jamani waafrica pia we play into their hands. Tukiwa maskini kama ilivyotokea wakati wa Mwalimu Nyerere ni halali kwani aliwagundua tangu mapema na hakucheka nao pamoja na kuwa walitukomesha na ujamaa wetu. Lakini angalau hawakutuona wajinga.
Tofauti ya sasa ni kuwa tunajigawa sisi wenyewe kwa tamaa za kisiasa, Kuanza kuuana na kuwapa hao wazungu mwanya mkubwa wa kutumaliza.
Kwani ni kawaida yao wakishaona mwanya ndiyo hutumia mwanya huo kutumaliza kabisa.
Is this what we want?
 
Nadhani ingependeza kama ungedokeza kwa namna gani na sisi yanataka kutokea hayo hayo
 
Wazungu sio watu wakuaminika apo watatudanganya na700b wanajua tutashangilia kama zuzu kinachofata ni kujisahau na mkakati wao wa kutushughulikia kimya kimya unaendelea
 
Ukisoma kitabu cha Confension of an economic hitman , jasusi huyo wa kiuchumi alitoa njia wanazotumia kuziweka nchi katika himaya yao.

1. Kupitia Mikopo mikubwa isiyo na maslahi kwa nchi husika, baadae hudai madeni yao wakati nchi zikiwa hoi bin taaban
2. Kuhonga, kununua viongozi
3. Wakishindwa wanaweza kutumia njia za kijeshi kama kupitia waasi, au wenyewe wanaweza kuingia front kama walivyofanya Iraq na Libya and then kusimamisha vibaraka wao ndo watawale

Wana vyombo vingi vya kufanya hayo
1. Wanamiliki World Bank na IMF
2. Wana Media kubwa za Propaganda, CNN, BBC, Newyork times, Deutchewelle, Voice Of America
3. Wana Miliki masoko ya kila bidhaaa muhimu duniani
4. Wanamiliki Baraza la Usalama kwa more than 80%
5. Dola, Pound, Euro ni vya kwao
6.Wanamiliki Majeshi yenye nguvu

Hawa Jamaa ni wa kucheza nao kwa akili mno, Hii mijamaa iliigawa sudan, Sasa Wanaigawa Iraq, haichelewi kukuundia zengwe hawa!


'mimi nikiona hivi najuwa wewe ni mmoja tu wa wale 12,000 wa vyeti feki'
 
Sio kwamba wazungu wanatushughulikia ila ni sisi wenyewe. Yeye kila kitu kimepangwa kwa mpango maalumu sisi ni blablaa, akikuambia njoo asubuhi saa mbili unakuja saa nne anakuacha solemba, hapo si umejimaliza mwenyewe? Tukijirekebisha tutaenda nao sawa
 
Wazungu ukiwauzi /ukiwachokonoa wana njia mbali mbali za kukushughulikia, wanaweza kukushikisha adabu waziwazi (rejea ya Iraq, Libya) pia wanaweza kukutesa kimya kimya.
Kwa viashiria vinavyojionesha kwa sasa apa tz, ni wazi mzungu kachagua njia ya kutushughulikia ya kimyakimya na ataendelea kututesa tu.
Tuache ubishi dunia bado inatawaliwa na mzungu.
aliyekuleta hapa duniani ni mzungu au mweusi,masikini mkubwa wa akili pumbavu.
 
Hoja yako ni ipi sasa? Mambo gani yanakufanya uone kama wazungu wanatushugulikia? Labda wewe ndio unashughulikiwa Mkuu, pole sana.
 
Sio kwamba wazungu wanatushughulikia ila ni sisi wenyewe. Yeye kila kitu kimepangwa kwa mpango maalumu sisi ni blablaa, akikuambia njoo asubuhi saa mbili unakuja saa nne anakuacha solemba, hapo si umejimaliza mwenyewe? Tukijirekebisha tutaenda nao sawa
Upo sawa
 
Back
Top Bottom