Naona vijana wa NACTE mko busy!!

Naona vijana wa NACTE mko busy!!

kipusi

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2015
Posts
443
Reaction score
75
Naona mko busy na furaha ya kupata vyuo wakt wengine wamekosa kwa kuwa hawana vigezo!!!. vp ww??
 
Lakini mbna kwangu wamenambia inategemea uthibitisho kutoka chuoni au kwenu vipi?
 
Lakini mbna kwangu wamenambia inategemea uthibitisho kutoka chuoni au kwenu vipi?

Kwangu pia imeandika hivyo hi yo,lakini sina wasiwasi kwasababu ndio dalili ya kuchaguliwa.alafu wameongeza deadline mpaka 24/10
 
Kwangu pia imeandika hivyo hi yo,lakini sina wasiwasi kwasababu ndio dalili ya kuchaguliwa.alafu wameongeza deadline mpaka 24/10

Mmh hiyo deadline waliyoiongeza yanini badala wangetoa tu majina wakati baadhi ya vyuo vinafunguliwa tarehe 9nov, na hapo hapo profile hazieleweki, hawatutendei haki kabisaa
 
Kuna wale waliochaguliwa awali wakaambiwa nao wasubiri comfirmation,je comfirmation hizo walipata au tuko nao pamoja
 
Hayo maswala ya confirmation watajua wao. Siku ya kufungua ikifika me nabeba vyeti na kila kitu naenda chuo. Hiyo confirmation itajulikana huko huko.
 
Hayo maswala ya confirmation watajua wao. Siku ya kufungua ikifika me nabeba vyeti na kila kitu naenda chuo. Hiyo confirmation itajulikana huko huko.

plz uskulpuke itakula kwako!!
 
hivi ukienda chuo ambacho nacte walikuonesha kuwa umekuwa selected ila bado confirmation..je hicho chuo kitakupa joining instruction..?
 
plz uskulpuke itakula kwako!!

Hakuna kitu kama hicho,kama umekua selected, alafu umeandikiwa subiri confirmation from institute/college.at the same time jina lako umeliona kwenye firstly batch ya chuo.hapa kuna mini sasa?inamaana mtu ushachaguliwa,ni kureport tu
 
kwa hapo ni sawa
 
Je kama jina lako halijaonekana kwny batch lkn kwny prf upo select
 
According to my experience mwaka Jana kuna dogo alichaguliwa sua baada ya kuja chuo kufanya registration Jina Lake halikuonekana chuon wakamuuliza kwenye account yake kama inaonesha amekua selected kuja sua akawaambia ndio then wakamwambia akafungue account yake then akatoe copy ya sehem inayoonesha kachaguliwa sua alipofanya hvyo bas wakampokea kama wengine
 
Na kama umeambiwa machaguo yako hujapata kwa sababu ya ushindani,hivo itabidi nijaze tena au inakuwaje wakuu.
 
Back
Top Bottom