Ngengemkenilomolomo
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 313
- 533
sio jambo jepesi ni kakikundi kanajaribu huo mchezo bila mafanikio na zaidi humu mtu mmoja anakuwa na ID zaidi ya tatu mimi binafsi nimezaa watoto na muislamuGuys
Sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwaunganisha wananchi wote pamoja bila kujal dini zao, kabila, rangi wala vimo vyao
Ila kwa kiongozi wetu naona washauri wamemwambia wakatoliki hawakupendi na yeye amejaa kwenye mfumo sasa ameanza kuligawa taifa kidini, ukitaka kuamini hilo pitia comment nyingi zenye majina ya Kiarabu wengi wanampongeza na kumsifu na wengine wameenda mbali wanasema wanampenda na wanavutiwa na speech zake.
Yaani unaona kabisa udini this time around unaenda kushika kasi
Guys hii sio ishara nzuri kwa taifa na nchi kwa ujumla.
Washauri wake wanampoteza vibaya mno
Hapana tusipuuzie.Hakuna huo mgawanyiko. Wewe na juma pale mtaani hamsalimiani? Hao wahuni wanaokodiwa kutisha watu ndio mgawanyiko?
Kawaulize msikiti upi wanaswalisha?
Ndiyo vizuri mbwa nyinyi,mmejaa chuki, yaani ushungi wake pale ikulu unawauma sana,muda mrefu tu mnamuita bi ushungi,mara mzanzibar ila mnajua kinachowakeraGuys
Sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwaunganisha wananchi wote pamoja bila kujal dini zao, kabila, rangi wala vimo vyao
Ila kwa kiongozi wetu naona washauri wamemwambia wakatoliki hawakupendi na yeye amejaa kwenye mfumo sasa ameanza kuligawa taifa kidini, ukitaka kuamini hilo pitia comment nyingi zenye majina ya Kiarabu wengi wanampongeza na kumsifu na wengine wameenda mbali wanasema wanampenda na wanavutiwa na speech zake.
Yaani unaona kabisa udini this time around unaenda kushika kasi
Guys hii sio ishara nzuri kwa taifa na nchi kwa ujumla.
Washauri wake wanampoteza vibaya mno
Alivyoongea hadharani ndiyo vizuri, jakaya akiwa rais alishaongelea udini nchini,akamalizia kwa mimi ndiye rais,dk Bilal makamu,akamtaja na rais wa zenjiH
Hapana tusipuuzie.
Sasa hivi hii dhana ya kukataliwa sababu ya dini na jinsia au mahali alipotoka itaanza kuwaingia wananchi wengi.
Kiongozi kuongea hadharani vile inakuwa rahisi sana kuaminiwa na wengi.
Ndiyo kete pekee iliyobaki. Mfa maji siku zote hutumia silaha yoyote kujiokoa.Guys
Sifa ya kiongozi wa nchi ni kuwaunganisha wananchi wote pamoja bila kujal dini zao, kabila, rangi wala vimo vyao
Ila kwa kiongozi wetu naona washauri wamemwambia wakatoliki hawakupendi na yeye amejaa kwenye mfumo sasa ameanza kuligawa taifa kidini, ukitaka kuamini hilo pitia comment nyingi zenye majina ya Kiarabu wengi wanampongeza na kumsifu na wengine wameenda mbali wanasema wanampenda na wanavutiwa na speech zake.
Yaani unaona kabisa udini this time around unaenda kushika kasi
Guys hii sio ishara nzuri kwa taifa na nchi kwa ujumla.
Washauri wake wanampoteza vibaya mno
Hapana mkuu chuki huanzia kwenye grassroots sio juu kuja chini. Hao wanachoweza labda ni kuwapa tender magaidi yachome makanisa au kuuwa wakristo ila sio jirani yangu abebe panga eti kisa anamtetea Samia ambaye hamjui kabisa.H
Hapana tusipuuzie.
Sasa hivi hii dhana ya kukataliwa sababu ya dini na jinsia au mahali alipotoka itaanza kuwaingia wananchi wengi.
Kiongozi kuongea hadharani vile inakuwa rahisi sana kuaminiwa na wengi.
Huyo JK hawezi kuwa role model.Alivyoongea hadharani ndiyo vizuri, jakaya akiwa rais alishaongelea udini nchini,akamalizia kwa mimi ndiye rais,dk Bilal makamu,akamtaja na rais wa zenji
Pengo akatoka shimoni 'yeye ndo mdini'
Jk alikua na udini gani?!Huyo JK hawezi kuwa role model.
Awamu yake alitumia kete ya udini na ilizalisha makundi ya kidini ya kuleta taharuki uhalifu.
Ali Hassan Mwinyi na Nyerere ndiyo wawe role model.
Kimsingi huyo amekulia kwenye uisilamu wenye tafsiri hasi dhidi ya RC. Ameuficha tu baada ya kuwa kiongozi, ila akipata changamoto yoyote hasa ikitokea kwa RC, background yake inasoma kwa haraka. Anajitahidi kuficha ukweli kwenye kichaka cha dini. Anajua mtazamo wa kidini ukiwepo, utaficha ukweli wa kuwa yuko madarakani kwa wizi wa kura, na mauaji.Kumbe hizi spinning za udini yeye ndio anazichochea.
Solution ni rahisi tu, TEC wafanye kazi Yao,kuhubiri dini siyo kutwa siasaHapana mkuu chuki huanzia kwenye grassroots sio juu kuja chini. Hao wanachoweza labda ni kuwapa tender magaidi yachome makanisa au kuuwa wakristo ila sio jirani yangu abebe panga eti kisa anamtetea Samia ambaye hamjui kabisa.
Hofu yangu ni kuanzishwa makundi ya Kigaidi hapa Tanzania ili kudeal na TEC. Sasa kama TISS au JWTZ wanaona ni sawa tu ili mradi kulinda maslahi ya mtu mmoja basi watimize haja yao.