wakimataifa.
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 1,625
- 558
saa 3.15 limepita tetemeko hapa jijini Dodoma limepita tena saa 3.52 mida hii ya asubuhi linatoka kusini kwenda kaskazini
Dodoma ni masisiem bora lipitiage huko labda siku moja liondoke na yule malaika!






Nimeyahisi yote mawilisaa 3.15 limepita tetemeko hapa jijini Dodoma limepita tena saa 3.52 mida hii ya asubuhi linatoka kusini kwenda kaskazini
KweliLimefanya haraka ingebidi lisubiri hadi wenyewe wahamie chamwino.
Sent using Jamii Forums mobile app
Limefanya haraka ingebidi lisubiri hadi wenyewe wahamie chamwino.
Sent using Jamii Forums mobile app

We sema ni mambo ya kawaida watu wa bukoba walianza kuona foreshorks vitetemeko vidogo kabla ya tetemeko kuu mwaka 2005 na miaka 2012 ndo zilianza kuongezeka ni zilikuwa ni ndogo Tu kiasi kuwa za kawaida Ila kilichowakuta 2016 nadhani unakijua .ni wakati sasa watu wa Dom kuchukua tahadharkijiolojia hiyo ni hali ya kawaida kwa dodomian supergroup kupitiwa na tetemeko maana ipo kwenye weak zone ya EAST AFRICA RIFT SYSTEM. Wakuu mambo ya matetemeko kwenye dodoman supergroup na nyanzian supergroup ni kawaida.
well saidkijiolojia hiyo ni hali ya kawaida kwa dodomian supergroup kupitiwa na tetemeko maana ipo kwenye weak zone ya EAST AFRICA RIFT SYSTEM. Wakuu mambo ya matetemeko kwenye dodoman supergroup na nyanzian supergroup ni kawaida.