Naona mmechakachua acc yangu

Joined
May 26, 2011
Posts
29
Reaction score
0
Niliwashangaa mlio andika jana na kunishambulia kwa u junior wangu ila ukweli ni kwamba wamechakachua my first acc,kama hamtaki watu wa ccm humu ndan mseme....KIDUMU CHAMA TAWALA
 
inabidi mods waongeze jukwaa la toilet ili watoa ushuzi kama nyie posts zenu ziwe zinapelekwa huko
 
Niliwashangaa mlio andika jana na kunishambulia kwa u junior wangu ila ukweli ni kwamba wamechakachua my first acc,kama hamtaki watu wa ccm humu ndan mseme....KIDUMU CHAMA TAWALA

Kwani hujui CDM = J*F mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…