GE2025 Naona kila sehemu ooh! Ummy Mwalimu, kwania amekuwa msaafu habadilishwi? Nyienyie mnalalamika watu kukaa muda mrefu kwenye uongozi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,865
WATANZANIA VIGEU GEU SANA

nI SISI TUMEKUWA TUKILALAMIKA

VIONGOZI WAMEKUWA VINGANGANIZI

HAWATAKI KUPUMZIKA

TOKA JANA NAONA MITANDAON KILA MTU.UMMY OOR UMMY. OOH WANANCHI WAMERUDISHA KADI WANAMTAKA UMMY

NYIE WATU AMEKUWA MSAAFU AMA BIBLIA HABADILISHWI

PLS EMBU MKUBALIANE NA MAAMUZI SAHIHII YA CHAMA CHETU TUKUFU

KAMA ALIWADANGANYA ANARUDI

NA MNAMTAKA AKAHAMIE ACT AGOMBANIE HUKO

TUMECHOKA NA MA MESEJI YENU YA FB INSTAGR
 
Kulikuwa na haja gani ya kura za wananchi kama mnamchagua mnayemtaka????? Basi viongozi wenu wachague watu au wagombea wanaowataka kuliko kuwapotezea muda wananchi. Demokrasia ipo wapi kama mnawapanga watu wenu? Acha upumbavu wewe.
 
ENZI ZA MAGU ROBO YA WABUNGE WAMETOKEA NAFASI YA 2.3.4

NN KIPYA KWA UMMY AMEKUWA MSAAFU ASIBADILISHWE

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
 
Sidhani kama huo ubunge utaumaliza?

Hapo ulipo familia ya ummy haitakubali huo ujinga mlomfanyia, wale wapigakura wake nao watakutafuta

Nyie endeleeni na kunyima watu haki zao
 
Ummy alitoa toto afya kadi leo na yeye katolewa
 
Ummy ni mwoga,huwezi kumtukana rais wako kisirisiri,kama anhekuwa shujaa angeomba kukutana nae na akamweleza samia yeye mwenyewe hayo aliyoyasema kwa siri.Sasa hao aliokuwa qnawaambia kumbe walimtepu na wakamfikishia samia
 
Kulikuwa na haja gani ya kura za wananchi kama mnamchagua mnayemtaka????? Basi viongozi wenu wachague watu au wagombea wanaowataka kuliko kuwapotezea muda wananchi. Demokrasia ipo wapi kama mnawapanga watu wenu? Acha upumbavu wewe.
kipindi kile cha ama tuchague demokrasia au tuendelee na chama kimoja, angalau 80% ya wananchi walitaka tuendelee na Chama kimoja... Nchi ikawapa wale wa asilimia 20 tu... vipi hiyo haikuwa demokrasia???? wlaiotemwa wakubali wasonge mbele na maisha yaendelee..sio kitu kigeni, JPM alifyeka wabunge kibao 2020, akafyeka hadi upinzani wote - akaishia kununua Covid 19... hawa waloshinda na kufyekwa kama 10 tu nayo ni story kweli? mbona mama kawa mstaarabu sana? ningekuwa mimi ningefyeka hata 100 hivi
 
Kulikuwa na haja gani ya kura za wananchi kama mnamchagua mnayemtaka????? Basi viongozi wenu wachague watu au wagombea wanaowataka kuliko kuwapotezea muda wananchi. Demokrasia ipo wapi kama mnawapanga watu wenu? Acha upumbavu wewe.
Angalia ni asilimia ngapi ya watu ambao walichaguliwa na wananchi na hawakurudishwa? ni ndogo mno hivyo zipo sababu
 
Ummy ni mwoga,huwezi kumtukana rais wako kisirisiri,kama anhekuwa shujaa angeomba kukutana nae na akamweleza samia yeye mwenyewe hayo aliyoyasema kwa siri.Sasa hao aliokuwa qnawaambia kumbe walimtepu na wakamfikishia samia
Naikumbukaa hii mpwa na ndio inateend fb

Amevuna alichopanda hahaha

Akatumbue pesa za afya alizopiga
 
Hili ni funzo kubwa sana kwa binadamu,usimkosoe mtu pembeni,nenda kwake yeye mwenyewe kamwambie usoni.Ummy anajua sana alichofanya ndio maana kakaa kimyaaa.
 
Abood na Shabiby wamelalamikiwa lini?
 
Hili ni funzo kubwa sana kwa binadamu,usimkosoe mtu pembeni,nenda kwake yeye mwenyewe kamwambie usoni.Ummy anajua sana alichofanya ndio maana kakaa kimyaaa.
Na alijuaaaa

Hatorudiiiii
 
Kulikuwa na haja gani ya kura za wananchi kama mnamchagua mnayemtaka????? Basi viongozi wenu wachague watu au wagombea wanaowataka kuliko kuwapotezea muda wananchi. Demokrasia ipo wapi kama mnawapanga watu wenu? Acha upumbavu wewe.
"Chama chetu" ? Una maanisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…