Leo natabiri hivi..
Dakika ya 7 kuna goli.
Jezi namba 7 inafunga goli.
Kuna goli 7.
Nitakasea kidogo tu.
Rangi ya bahati ni njano(saffron)..
Wananchi tunaenda kuishangaza dunia leo
kuna mtanzania leo anafungua dimba kwa goli muruwa na kuweka historia bao la kwanza kwa timu ya YANGA fainali michuano ya CAF.... kisha wengine wanafuata
Leo natabiri hivi..
Dakika ya 7 kuna goli.
Jezi namba 7 inafunga goli.
Kuna goli 7.
Nitakasea kidogo tu.
Rangi ya bahati ni njano(saffron)..
Wananchi tunaenda kuishangaza dunia leo