Uchaguzi 2020 Naona dalili za CCM kupaniki na sasa wanaanza kutafuta shari


HAYO ULIYOYATAJA NI MAKUBWA MNO. CHADEMA MMESHINDWA KUJENGA HATA OFISI MOJA KWA MIAKA MITANO PAMOJA NA KUPATA RUZUKU YA MILIONI 336 KILA MWEZI. HATA KUPIGA RANGI OFISI YA MAKAO MAKUU DSM MMESHINDWA. PESA ZOTE AMEKURA MBOWE. HALAFU ETI TUWAKABIDHI NCHI. HAKUNA KITU KAMA HICHO. ENDELEA KUCHOMA MAOFISI YENU TU NDO KAZI MNAYOIJUA.
 

BORA HATA CHAUMA CHENYE SERA YA UBWABWA KWA WANAFUNZI KULIKO CHADEMA CHENYE SERA YA MATUSI, VURUGU NA KUUZA NCHI
 
CHADEMA HAWAAMINIKI HATA KIDOGO. KWENYE UCHAGUZI WA 2015 WALIINGIA MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO NA VYAMA VINGINE VYA UKAWA, KUACHIANA MAJIMBO NA BAADAE KUGAWANA RUZUKU. LAKINI KILICHOTOKEA NI CHADEMA KUWAGEUKA KWA KILA KITU NA KUTIA MPIRA KWAPANI. HAWA NDO WAPEWE UONGOZI WA NCHI?
 
Faida ya kuongea miaka 5 peke yako..sasa utaongea nini tena kipya kitakachowakonga mioyo watanzania?

Kwa hoja Lissu hawamuwezi..huyo Mzee apumzike siasa za majukwaani hataziweza.. ni wa kuhurumia.
 
Nasubiri 28 nimpe Lisu kura yangu ili angalau nifutwe machozi kwa nyumba yangu iliyobomolewa kibamba mchana kweupe , sikuwahi hata kutowa bati wala milango.

NATUOMBE
Ewe Mungu wewe ni Mkuu kuliko yeyote.
Wewe ni mkuu Kuliko magufuli na kwa ukuu wako mpe mjawake LISU USHINDI KUTOKA KWAKO ili asimamishe haki na uadilifu kwa raia wa TZ.
Ewe Mungu ,Sisi tulikulilia wakati wa mateso lakini wewe unajibu vile unavyoona inafaa ,Hiari ni yako Sisi hatuna hiari
Ni vyema maamuzi yako ,tumeridhia, na tumetii vile ulivyoona inafaa Ewe Mungu Muumba uliye Pweke katika maamuzi yako na uumbaji, na kuwanadhimu viumbe pale wanapoleta kiburi, Tunakukabidhi Magufuli.
Utukufu ni wako Milele na Milele.

Ewe Mungu Kiburi ni chako na unastahiki , Utukufu ni wako na unastahiki, Wema na Rehema ni zako na Unastahiki.
Bwana Mwenye huruma tele kwa waja wako wema na waovu,basi usituadhibu kwa maovu yetu sisi wanyonge , bali tusamehe, tuongoze na utukirimu ile haki tuliyodhulumiwa na wenye Mamlaka wenye kiburi irejeshwe kwa amri na mapenzi yako .
AMIN
 
M

CCM hawawezi kupanic, labda useme wamekuwa wastaarabu na wavumilivu kupita kiasi na sasa uvumilivu umefika mwisho. Wamechoka kutukanwa, kudhalilishwa, kukebehiwa, na kunenewa uongo. Lissu ni kinara wa uongo. Amevuliwa vya kutosha. Sasa wacha mitambo iwashwe atakayebabuka asilalamike. Kama ni ustaarabu wamekuwa wastaarabu mno. Sasa imetosha.
 
Kilicho pandwa ndicho kitakacho vyunwa,wengine naamini no miongoni mwa wanaotafutwa na m.kiti kwa ushauri wao na matendo yao.
 
CCM ya Magufuli imekataliwa Tanganyika na Zanzibar.
Imekataliwa Duniani na Mbinguni.
MaCCM yamepoteana, hayaamini LISSU atanii na hana bei.

#NIYEYE #LISSURAIS2020
 
Na kosa kubwa sana walilofanya ni kitendo cha kuzuia mikutano ya wapinzani for 5 years. Wanayoyasema sasa ni yale yale ambayo wameyasema for the past 5 years so people know and they want to hear something new.
 
Chadema hawajambo Kwa Tambo Kwenye SOCIAL NETWORKS.....
Kwa Mtu Asiyeilewa CCM Vyema anaweza kuwa PARANOID na vitisho vyao


Mtaji Wa CCM Ni wanachama wake milioni 17 nchi nzima....

KALAGHABAHO!!
Ushindi wa kura 8 milioni Vs 6 milioni mwaka 2015, hao wengine walikuwa wapi?
 
Unajiteke
A
[/QUOTE]
Hoja ndogo tu,maana haihitaji degree kujibu.uzuri kampeni wrote tunafatiria nchi nzima.we we ulieona matusi na NEC haijayaona VP tukuamini.

Uzuri Alisha waonya wahusika,nao sio wajinga.
 
Ndo maana Lisu anawakanya kila kukicha kuhusiana na mfumo wakikuda Wa kiungozi hapa nchini.iweje Wakurugenzi ndo wawe msitari wa mbele kuwawekea mapingamizi wagombea wa upinzani irihali wao ni wasimamizi.nini kinawapelekea kufanya hivyo?.

Nchi nzima,hakuna kijani aliyewekewa pingamizi na Mkurugenzi.

Wanachokitafuta watakipata.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Nilijua kwa kazi Magufuli aliyoifanya miaka 5 kufanya siasa peke yake ..kuwaumiza wapinzani,kujenga maflai over ,mandege yake na mastigaji ,mastandard geji asingefanya kampeni..kumbe ngoma ni ngumu hivi...Duuu
Hali ya siasa n nyingine kabisa usipime .
Muda huu hadi akina Kikwete,Sumaye ,Pinda ,Makamba na akina Ndugai wanaimba wimbo wasiojua kucheza.

KIKWETE angeacha tu huyu Kizimngara apige kampeni afie jukwaani.
 

Majibu ya maswali ya Lissu ambayo ni VIOJA badala hoja, yanajibiwa na wagombea ubunge na madiwani kwenye maeneo ya wapiga kura wenye kero za maendeleo. Yanajibiwa kwa hoja kama hivi
 
Kusema Corona ipo ni tusi?
Kuvaa barakoa ni tusi?
Kukusanya watu ni tusi?
Basi hata wewe ni tusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…