Naona Aibu Kuendesha Bodaboda Tena

Naona Aibu Kuendesha Bodaboda Tena

Nilipomaliza Chuo Kikuu Mwaka Jana Mzee Wangu Alinunulia Boda Boda Mpya Mwezi Wa 8.Nikaanza Tempo Yangu Ya Bodaboda.Nilikua Napata Wateja Wa Jinsia Zote.Mara Nyingi Wadada Na Wamama Wengi Niliowapakiza Walikua Unakuta Anakushika Kiunoni Kwa Kuogopa Kuanguka.Maajabu Huja Pale Ambapo Unapopakiza Mdada Au Mmama Mwenye Malikao Makubwa.Hapo Nyuma Kuna Joto Afu Unakuta Bendera Ya Bati Inapepea.Mda Mwingine Unakuta Mdada Anakusogelea Na Hadi Unapoteza Mwelekeo Wa Kuendesha Na Mara Ingine Unaingia Kwe Vishimo.Na Mwengine Unakuta Anakugusagusa Na Titima Yake Makusudi.Na Ukipakiza Demu Ukalegea Unapunjwa Mana Anakurembulia.Jamani Wadau Naona Aibu Kuirudia Kazi Yangu Mana Ni Ya Majaribu Sana.Au Niwe Napakiza Wanaume Na Wabibi Mana Wadada Wengi Mnamitego Sana.Dah Nimeimic Tempo Yangu Ya Boda Boda
"Weakness"
 
siku moja nilipanda bodaboda,mara akapiga breki ghafla si uso wangu ukagusa lile koti lake,ile harufu nlokutana dah
 
Tatizo maboda wengi muda wote wamelewa, akikuongelesha wakati amekupakiza domo linatoa harufu ya pombe tupu
 
mi napanda zile wanazoendesha mademu safari inaendelea huku na chaji simu
 
Back
Top Bottom