Naona Aibu Kuendesha Bodaboda Tena

Naona Aibu Kuendesha Bodaboda Tena

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
6,182
Reaction score
11,782
Nilipomaliza Chuo Kikuu Mwaka Jana Mzee Wangu Alinunulia Boda Boda Mpya Mwezi Wa 8.Nikaanza Tempo Yangu Ya Bodaboda.Nilikua Napata Wateja Wa Jinsia Zote.Mara Nyingi Wadada Na Wamama Wengi Niliowapakiza Walikua Unakuta Anakushika Kiunoni Kwa Kuogopa Kuanguka.Maajabu Huja Pale Ambapo Unapopakiza Mdada Au Mmama Mwenye Malikao Makubwa.Hapo Nyuma Kuna Joto Afu Unakuta Bendera Ya Bati Inapepea.Mda Mwingine Unakuta Mdada Anakusogelea Na Hadi Unapoteza Mwelekeo Wa Kuendesha Na Mara Ingine Unaingia Kwe Vishimo.Na Mwengine Unakuta Anakugusagusa Na Titima Yake Makusudi.Na Ukipakiza Demu Ukalegea Unapunjwa Mana Anakurembulia.Jamani Wadau Naona Aibu Kuirudia Kazi Yangu Mana Ni Ya Majaribu Sana.Au Niwe Napakiza Wanaume Na Wabibi Mana Wadada Wengi Mnamitego Sana.Dah Nimeimic Tempo Yangu Ya Boda Boda
 
Nitachangia lakini ngoja nimalizie kuangalia taarifa ya habari jinsi ukawa walivyofunika zanzibar
 
sasa wewe ulitaka upakie wanaume wakubaishee tu au? ebu wacha warembo waneemeshe kazi wewe

Ha Ha Haa Hawa Jamaa Wanafaidi.Kila Mtu Anakula Oficini Kwake
 
usiwe unapakiza wamama... we komaa na wakaka wenzio!!! Ila unakosa raha za dunia
 
Back
Top Bottom