BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,079
Wanajamii,
nakushukuruni sana kwa maoni yenu kwani kuna baadhi yamenifungua macho sana na baadhi yamenichanganya kabisa. Ukweli ni kwamba mimi malengo yangu ni kujiendeleza kitaaluma kwasasa. Mwenzangu yeye anasema anataka kuolewa MWAKA HUU HUU lakini pia yeye kitaaluma yeye amefanikiwa sana. Yeye anasema pia kwamba muda wake mwingi ulikua shuleni lakini pia nikijumuisha maelezo yake anasema kwamba alikua na mahusiano lakini hayakuwa na mafanikio. Aidha, kwa upande mwingine ni kwamba huyu dada ni mambo safi pia. Kiniacho nipa wasiwasi ni kwamba anasema yeye anataka kuolewa na anataka iwe mwaka huu huu, ukweli ni kwamba mimi mwaka huu siwezi kumuoa. Hata hivyo moyo naona umemuangukia kweli lakini kinachonisibu ni hio spidi anayotaka na haraka aliyonayo, inanifanya niogope kweli kweli.
Licha ya hayo suala linalokuja kichwani je ni sawa kuoa mwanamke mwenye miaka 30? Lakini pia huyu dada kwangu ni mkubwa wa umri kidogo kwa miezi kadhaa na usheehe hivi...! Swali ni je ni sawia kujitosa hapa wandugu...?
Mwanamke mwenye miaka 30 bado anadai kabisa, wala sio mzee. Kumbuka age is nothing, is just a number. we kama umempenda unaweza kumuoa na bado unaweza kujiendeleza na masomo vizuri maana yy nadhani tayari kasoma na kazi anayo. Hilo swala la kwamba kakuzidi miezi is not a big deal. Mie nimewaona watu wengi wameolewa above 30 na wamezaa vizuri, watoto wazuri. Hivyo kaka kama umependa we chukua jumla. Ila tafadhali usije ukampotezea muda dada wa watu.Wanajamii,
nakushukuruni sana kwa maoni yenu kwani kuna baadhi yamenifungua macho sana na baadhi yamenichanganya kabisa. Ukweli ni kwamba mimi malengo yangu ni kujiendeleza kitaaluma kwasasa. Mwenzangu yeye anasema anataka kuolewa MWAKA HUU HUU lakini pia yeye kitaaluma yeye amefanikiwa sana. Yeye anasema pia kwamba muda wake mwingi ulikua shuleni lakini pia nikijumuisha maelezo yake anasema kwamba alikua na mahusiano lakini hayakuwa na mafanikio. Aidha, kwa upande mwingine ni kwamba huyu dada ni mambo safi pia. Kiniacho nipa wasiwasi ni kwamba anasema yeye anataka kuolewa na anataka iwe mwaka huu huu, ukweli ni kwamba mimi mwaka huu siwezi kumuoa. Hata hivyo moyo naona umemuangukia kweli lakini kinachonisibu ni hio spidi anayotaka na haraka aliyonayo, inanifanya niogope kweli kweli.
Licha ya hayo suala linalokuja kichwani je ni sawa kuoa mwanamke mwenye miaka 30? Lakini pia huyu dada kwangu ni mkubwa wa umri kidogo kwa miezi kadhaa na usheehe hivi...! Swali ni je ni sawia kujitosa hapa wandugu...?
Mwanamke mwenye miaka 30 bado anadai kabisa, wala sio mzee. Kumbuka age is nothing, is just a number. we kama umempenda unaweza kumuoa na bado unaweza kujiendeleza na masomo vizuri maana yy nadhani tayari kasoma na kazi anayo. Hilo swala la kwamba kakuzidi miezi is not a big deal. Mie nimewaona watu wengi wameolewa above 30 na wamezaa vizuri, watoto wazuri. Hivyo kaka kama umependa we chukua jumla. Ila tafadhali usije ukampotezea muda dada wa watu.

"Mwanamke asipokuwa na mume ni kazi bure. Chumvi ni chumvi na sugar

Mpenzi Pretty!
Kuna menopause, na umri wa mwanamke unavyongezeka fertility and fecundity hupungua sana....kama unataka kuowa mtu wa kupiga mikasi tu then you argument age aint nothing but numbers uko sahihi! Binafsi napenda mdada umri ulienda kidogo maana serengeti Gals si wazoefu kwenye yale mambo yangu!!
Dada unacheza wewe. Kwa BongoTZ kuolewa bado big deal. Jamaa mmoja anasema "Mwanamke asipokuwa na mume ni kazi bure. Chumvi ni chumvi na sugar ni sugar"
Mwanamke wa mawazo hayo anakuwa sana sana yuko kwenye hali moja kati ya hizi; 1) bado mdogo sana hajaanza mambo ya mahusiano na wanaume au 2) ameshindwa kupata mume au 3) ameachika ndoani.
Pamoja na hela, pamoja na kisomo, marejeo ni kwa mume tu!
Siyo kweli. I know several ladies who married at that age and they have at least 5 children each. Kuzaa siyo automatic. Unaweza kuoa msichana wa miaka 19 au 20 na akazaa mtoto mmoja tu au asizae kabisa. Hivyo, si kweli kwamba miaka 30 mwanamke amechelewa sana kuolewa.
nikaja gundua kwamba hapendi kujitegemea mwenyewe anataka aolewe then akae ndani tu apike ndio maana nalazimisha ndoa
Mkuu miaka 30 huyu akishusha single moja tu mtakimbiana.
Tafakali kwanza utaanza kumendea nyumba ndogo bure na siku hizi vitoto kibao vizuri vinazaliwa.
It is the same story with me,kuna mtu wangu alinilazimisha nikajitambulishe kwao,but nilimweleza kuwa lets prepare our self before that lakini akazidi kulazimisha,mwishowe akasema wazazi wake wamemtafutia mchumba msabato mwenzake,akasema ataolewa muda wowote but its about a year now sioni dalili za kuolewa wala uchumba,nikaja gundua kwamba hapendi kujitegemea mwenyewe anataka aolewe then akae ndani tu apike ndio maana nalazimisha ndoa
Kama utaamua kubishana na facts ni sawa! Literature inaonyesha umri wa mwanamke unavyoongezeka hasa baada ya 30s fertility hupungua sana! Ingawa hata mwanamke wa above 60s anaweza kuzaa najua wewe nimfatiliaji walijua hili..in vitro fertilisation wengine huita testube babies...Generally habari ndo hiyo fertility and age they are negatively correlated....kuwa mkweli mdada mwenye miaka 32 sirahisi kuzaa watoto 5....labda kama alipiga dublets