At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,513
- 3,554
Nyie mnazingua kichizi. Waambie hao mabosi wako. Wanapokata hela wawe wanasema imetumika kwa ajili gani.
Pia waambie waacha kutuma fraudulent sms zinazopelekea ulaghai mtu unaingia gharama ambazo hazipo.
Pia waache kutafuta hela kwa nguvu. Waboreshe huduma wateja wako.
Pia voice customer care mnazingua. Nadhani mnafanya makusudi..!
Nimemind na kuboreka kichizi kukatwa hela kizembe mnaniingizia madeni ambayo sio.
Mnanisubirisha dakika inaenda ya ishirini. Kama wahudumu hawapo si mseme tu.
Sent using Jamii Forums mobile app