Naombeni Vodacom Tanzania mjirekebishe

At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
4,513
3,552
Nyie mnazingua kichizi. Waambie hao mabosi wako. Wanapokata hela wawe wanasema imetumika kwa ajili gani.

Pia waambie waacha kutuma fraudulent sms zinazopelekea ulaghai mtu unaingia gharama ambazo hazipo.

Pia waache kutafuta hela kwa nguvu. Waboreshe huduma wateja wako.

Pia voice customer care mnazingua. Nadhani mnafanya makusudi..!

Nimemind na kuboreka kichizi kukatwa hela kizembe mnaniingizia madeni ambayo sio.

Mnanisubirisha dakika inaenda ya ishirini. Kama wahudumu hawapo si mseme tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Juzi wamenikata deni la MPAWA. Kisa tu wameona kwenye MPESA kuna hela.

Huduma imekuwa mbovu sana.
Nimeomba waniondoe katika kupokea message za matangazo ya mnada poa . Nishatuma message nyingi STOP ila . Bado napokea msg za mnada poa
 
Juzi wamenikata deni la MPAWA. Kisa tu wameona kwenye MPESA kuna hela.

Huduma imekuwa mbovu sana.
Nimeomba waniondoe katika kupokea message za matangazo ya mnada poa . Nishatuma message nyingi STOP ila . Bado napokea msg za mnada poa
Labda ukiwapigia ndio afadhali.
 
Tigo nao jau....nmennua vifurushi vya 8000 kwa wiki nawapgia kuwaambia gharama zao znaumiza Wana nambia tumia combo, af mbaya Zaid nannua 1.2 gb 3000 af wanakwambia ukinnua kwatgo pesa Unapata ofa ofa huon...pumbav sana
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom