wida
JF-Expert Member
- Jul 4, 2014
- 247
- 40
Nina mpenzi wangu ambaye simuelewi, maranying huwa nasuruhisha matatizo pindi yanapo tokea, ila nashindwa kufahamu hadi naamuwa kukaa kimya wakati fulani ananitafuta kuanza kulalamika nashindwa kumuelewa nikimuuliza jibu lake nipo kawaida mpenzi wangu sina tatizo.
Naombeni ushauri juu ya uhusiano huu
Naombeni ushauri juu ya uhusiano huu